Zlle hela za service charge


noiselessly hunter

noiselessly hunter

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2013
Messages
2,326
Likes
1,753
Points
280
noiselessly hunter

noiselessly hunter

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2013
2,326 1,753 280
Wanabodi,habari zenu kwa ujumla.
Si vibaya tukikumbushana yaliyopita.
Hivi zile hela waliokuwa wanatukata tanesko za service charge,zilikua zinaenda wapi?
Na sasa ilikuaje mpaka wamesitisha?
Mwenye ufafanuzi,hata kama wa tanesko wapo humu.
Zis kantri,hawa tanesko wametuibia sana aisee.
 

Forum statistics

Threads 1,262,079
Members 485,449
Posts 30,112,461