Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,075
- 2,316
Ni mwezi tangu flyover ya TAZARA ianze kujengwa lakini ukiangalia jinsi ujenzi wenyewe unavyofanyika kwa kusuasua inaweza kuchukua miaka kumalizika. Kwa uzoefu wangu ujenzi wa mradi mkubwa namna hiyo hufanyika usiku na mchana lakini usiku wamelala, na asubuhi mpaka saa tatu kazi hazijaanza.