Serikali ya kijiji imekamata ng'ombe na jembe la kulimia(plau) kwa mjomba wangu kisa hajachangia ujenzi wa madarasa

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
1,608
2,000
Huku serikali ikijinasibu na elimu bure, huku wanakijiji wakiteswa kwa michango.

Tunapoteza bilioni 12.3 kwa kuungwa mkono huku hakuna madarasa, hakuna vyumba za walimu, hakuna madawati.

Jana mjomba wangu kanipigia sim analalamika serikali ya kijiji imevamia kwake na kuchukua jembe la kukokota na ng'ombe pamoja na ng'ombe kadhaa hadi alipe michango ya ujenzi wa madarasa ya sekondari. Alipowauliza mbona elimu ni bure wakamtishia kua watamfungulia mashtaka ya kugoma kushiriki maendeleo.

Watu wenye upeo mkubwa na akili kubwa, tunaoona vitu njia ya tofauti tulisema toka mwanzo, uongozi ni karama, majigambo na sifa za kununua ndege cash na maflyovers havina maana kama bado hatujatengeneza namna ya kuwaondoa watu kwenye umasikini.

Huku tunaambiwa elimu bure huku wanakijiji wanakamuliwa michango huku serikali inatumia hela nyingi kutafta sifa za kuungwa mkono na kupongeza.
 
kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
4,053

Mimi nasema maendeleo hayana chama.
Tanzania itajengwa nasi sote.
Hapa hakuna mtu kukimbia tubaki hapahapa mpaka kieleweke. Si tumemuweka wenyewe huyu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,106
2,000
Huyo mjomba wako ni mkorofi kama anaenda kinyume na matakwa ya kijiji
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
51,213
2,000
Chama cha Mazezeta at work. Ni wao na zezeta wao mkuu walisema wana uwezo wa kufanya harusi ya mtoto wao bila michango ya majirani, iweje leo wanapora mali za watu kisa hawajachangia harusi? Uzezeta ni mzigo mzito sana
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,392
2,000
Mwambie akachangie aache tabia za kikoloni
Huku serikali ikijinasibu na elimu bure, huku wanakijiji wakiteswa kwa michango.

Tunapoteza bilioni 12.3 kwa kuungwa mkono huku hakuna madarasa, hakuna vyumba za walimu, hakuna madawati.

Jana mjomba wangu kanipigia sim analalamika serikali ya kijiji imevamia kwake na kuchukua jembe la kukokota na ng'ombe pamoja na ng'ombe kadhaa hadi alipe michango ya ujenzi wa madarasa ya sekondari. Alipowauliza mbona elimu ni bure wakamtishia kua watamfungulia mashtaka ya kugoma kushiriki maendeleo.

Watu wenye upeo mkubwa na akili kubwa, tunaoona vitu njia ya tofauti tulisema toka mwanzo, uongozi ni karama, majigambo na sifa za kununua ndege cash na maflyovers havina maana kama bado hatujatengeneza namna ya kuwaondoa watu kwenye umasikini.

Huku tunaambiwa elimu bure huku wanakijiji wanakamuliwa michango huku serikali inatumia hela nyingi kutafta sifa za kuungwa mkono na kupongeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
The hitman

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
2,921

Ww umemsadiaje sasa ?
 
nsanzu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
3,918
2,000
Jana na juzi pia mama kanipigia simu ananiambia nimtumie pesa ya mchango shuleni kwa mpwa wangu waanzie msingi. Its terribly terrible.
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
26,744
2,000
Channel 10 kesho mje mchukue zile 100mil mkanunue Camera na 100mil nyingine tena tutawamalizia ili ijulikane hii ni tv kweli kweli..
 
kantalambaz

JF-Expert Member
Dec 24, 2017
1,647
2,000
Huku serikali ikijinasibu na elimu bure, huku wanakijiji wakiteswa kwa michango.

Tunapoteza bilioni 12.3 kwa kuungwa mkono huku hakuna madarasa, hakuna vyumba za walimu, hakuna madawati.

Jana mjomba wangu kanipigia sim analalamika serikali ya kijiji imevamia kwake na kuchukua jembe la kukokota na ng'ombe pamoja na ng'ombe kadhaa hadi alipe michango ya ujenzi wa madarasa ya sekondari. Alipowauliza mbona elimu ni bure wakamtishia kua watamfungulia mashtaka ya kugoma kushiriki maendeleo.

Watu wenye upeo mkubwa na akili kubwa, tunaoona vitu njia ya tofauti tulisema toka mwanzo, uongozi ni karama, majigambo na sifa za kununua ndege cash na maflyovers havina maana kama bado hatujatengeneza namna ya kuwaondoa watu kwenye umasikini.

Huku tunaambiwa elimu bure huku wanakijiji wanakamuliwa michango huku serikali inatumia hela nyingi kutafta sifa za kuungwa mkono na kupongeza.
Kwenye kuchangia ujenzi wa madarasa ya shule ili watoto wetu wasome vizuri hilo halina ubaya na jukumu la kila mmoja kwakua SERIKALI haiwezitosheleza kila kitu. Hakuna kitu cha bure duniani lazima uingie gharama japo kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
4,141
2,000
angalia kama kuna sheria ndogo hapo kijijini ambayo inamtaka kufanya hayo aliyoambiwa na serikali ya kijiji,kama ipo basi mzee alipe tu kama haipo asilazimishwe au yeye achukue hatua zidi ya hao viongozi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom