Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wale wapenzi wa mpira jmosi tukutane kwa mkandarasi . Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
44K Views
Juma Ally, aliyejenga nyumba katikati ya mpaka Tanzania na Kenya katika kijiji cha Jasini wilayani Mkinga Mkoa wa Tanga amesema haoni tatizo nyumba yake kuwa eneo hilo. Amesema nyumba hiyo ipo...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Wapo wanaodanganyika; Eti kwamba ukiweza kuendesha Gari dar es salaam Tanzania basi utaweza kuendesha gari popote huko duniani (kimataifa). Ukweli ni kwamba madereva wetu wengi bongo wakiwemo Wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wapendwa? Ni muda sasa umepita toka mwezi wa 12 mwaka jana hakuna kondom sokoni(kama mtu anazo ni stock) nimejaribu kuuliza nikaambiwa haziji Tanzania mpaka mwezi wa sita watakapo pata...
1 Reactions
81 Replies
13K Views
Bado Tundu Lissu anaendelea kutaja kuliko mtu yeyote kwa sasa katika siasa za Tanzania. Jana niliona majibu ya Waziri Kangi Lugola kuhusiana na ushambuliwaji wa Lissu, nilichogundua kuna uzembe...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu kifo uleta uzuni sana kwa ndugu..machungu upungua pale Maiti inapozikwa.,kwa waliofiwa wanaelewa. Sasa shida zinaanza km maiti kucheleweshwa kuzikwa. 1.Wakusanyaji wa michango...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kujulishwa ni jimbo gani nchini Marekani lina watanzania wengi kuliko majimbo mengine?
0 Reactions
108 Replies
14K Views
Wakuu habari za shughuli. Tafadhali kama kuna mtu yeyote aliyesoma shule tajwa hapo juu au jirani na shule hiyo au una jamaa kwenye hiyo shule, naomba anipatie mawasiliano ya mwalimu yeyote yule...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za jioni wanajukwaa Naomba niende moja kwa moja kwenye maada. Mimi ni muagizaji mzuri wa magari Japan, UK Kiukweli nakwazika mno na utendaji kazi wa kampuni ya EAA TANZANIA ambayo imepewa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika nchi nyingi za Africa Rais ndio cheo kikbwa cha madaraka. Wanasiasa wengi wana ndoto za kuwa Rais wa nchi ila ili kufikia cheo hicho mchakato wake ni mrefu sana,km huna imani utatumia njia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Amani iwe juu yenu waungwana. Husika kichwa cha habari hapo juu,ningependa yupeane ufafanuzi kidogo juu ya swala hili. Nijuavyo Mimi,mgonjwa anazo haki zake za msingi,mfano...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inachekesha na kuhuzunisha hapo hapo. Huko Rombo kwa kina bwashee, kijana wa darasa la sita karudi toka shule. Nyumbani hakukuta msosi, lakini kwa jirani akasikia harufu nzuri ya ngararimo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Understanding Valentines Day Why you can't be my Valentine: February 14th was called “Lupercalla” Or “day of the wolf” This was a day that was sacred to the sexual frenzy of the goddess Juno...
0 Reactions
1 Replies
669 Views
Kaya mbili zimetengwa na wananchi wa Mtaa wa Nyantorotoro katika Halmashauri ya Mji Geita akiwemo mume na mke waliopewa adhabu ya kulipa faini ya ng’ombe kwa kila mmoja ama shilingi 100,000...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HAPO SASA! Hiyo nyumba ipo wilayani Mkinga (Tanga) ambapo inaleta utata wa kidiplomasia. Nusu ya nyumba (chumba kimoja) ipo Kenya (upande aliosimama Naibu Waziri Fedha Dkt. Ashuta) na nusu...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Lisemwalo lipo. Serikali ina mpango wa kuanza kuwatoza wanaongezewa damu. Kwanza, kwenye hospital binafsi na baadaye, hata zile za serikali. Watanzania hujitolea bure damu ili kuwanusuru...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Kutokana na kuwepo kwa kampuni nyingi sana za maji ya kunywa na zile za kutengeneza pombe kali hili linapelekea competition kuwa kali zaidi sokoni. Ili ku win soko lazima upunguze sana bei na hili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Toka saa 1 tupo kwenye Foleni maeneo ya Namanga... Huku Magari makuu kuu aina Land Rover BREAKDOWN yakipita Service Rd. Kuelekea huko
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shakila Said Mungu akulaze mahala pema Peponi. Marehemu Bi Shakila Saidi Alipoenda kumuaga Raisi Jakaya Mrisho Kikwete."the great president of our Time" Ni kama anamuambia Rais Jaakaya Mrisho...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…