Profesa Juma Kapuya aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Urambo Magharibi,amefunguka kuhusu ndoa yake aliyofunga Jumapili ya Februari 12 na mwanamke anayejulikana kwa jina la Mwajuma Mwiniko...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua rasmi utoaji wa vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo.
.
.
Katika uzinduzi huo TRA imetoa Masharti manne kwa Wafanyabiashara wadogo na Machinga ili...
Kila mtu anajua umuhimu wa Bima ya afya. Bima zipo katika makundi mbalimbali, tofauti ni uwezo wa mtu
I. Zipo zinazoishia hosipitali za Wilaya, Mkoa, Rufaa
II. Zipo nyingine zinazoruhusu kutibiwa...
Amani Iwe nanyi.
tangu mfumo wa digtal uanze nchini mimi nimejaza vingamuzi vya makampuni yote nyumbani kwangu. Yote ni kutafuta prog nzuri zilizo katika makampuni hayo.
Nilichogundua katika...
Nina ndoto toka nikiwa Mdogo kwenda ulaya nikaishi huko.... Sasa naomba msaada kujua vitu vifuatavyo
1.ni nchi gan ambayo ina fursa nyingi za kukuingizia kipato haswa huko ulaya
2.ni nchi gan...
Habari za asubuhi, kwa Tanzania najua bado ni asubuhi, hapa sochasloviskie ni saa sita mchana, kwa walio Moscow mda ndo unafanana na wa Tz,
Kumekuwa na matukio mbali mbali hasa kupitia operation...
Ordinary, observable matters (like Stars, moon and planets) makes up measly 5% of universe. The other 95% of universe is made up of invisible dark energy.
Source: NASA
Dark Energy, Dark Matter...
Nashangazwa jinsi watu walivyo makauzu yaani kweli kabisa wanatangazwa watu wanaomdai marehemu pesa wanajitokeza mpaka watu wanaomdai elfu 20.jaribuni kuwaonea huruma familia aliyoiacha Kama...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha miaka miwili Jela au kulipa faini ya Shilingi laki tano raia wa Ethiopia anayefahamika kwa jina la Gashahuni Degu (21 )...
Wamekamatwa mkoani Dodoma walikokuwa wakisambaza mashine hizo bila ya kibali
> Wanatuhumiwa kutoa rushwa ya shilingi milioni 1 kwa Askari wa Jeshi la Polisi waliowakamata
Habari zenu wana jf.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Najua humu kuna wataalamu Wa maswala haya ya IT na computer science.
Naombeni mnishahuri kazi ya hizi short courses...
Kuanzia saa 9 alasiri leo Novemba 10, 2018 (kwa majira ya Afrika Mashariki), JF inaweza kutoweka hewani.
Kuna mashambulizi kadhaa yatafanywa kwa mfulululizo ili kuiangusha na kuiondoa hewani...
Naomba kupatiwa jibu la swali langu kama linavyojieleza hapo juu kwenye kichwa cha uzi.
Huyo dereva akikamatwa apigwe tu maana hamna namna nyingine ila la kuchoma moto kituo cha polisi siliungi...
Bora tu Mwenyezi Mungu kupitia Israeli Mtoa Roho wake hili zoezi wanalifanya wenyewe tu kwani kama ingekuwa limeachwa kwa Sisi Wanadamu nina uhakika kuna Watu wangepigiwa Kura mara mbili mbili...
Wakati wajapani wamemaliza Ujenzi daraja la Mfugale mazingira yalikuwa mwanana majani yaliyopandwa hapo yakipendeza - pita leo UTASHANGAA jamani hata kuhudumia mandhari hatuwezi? TANROADS au City...
Jambo..
Utamaduni wa kizungu kimavaz ya kike hasa katika maeneo ya mijini unakuwa practised ipasavyo, ukimsema mwanamke au kumgusa kwa mavaz ake utaskia manyanyaso ya KIJINSIA bila kujua na wao...
Binti mbichi aliyejulikana kwa jina la Neema Malimbwi (pichani) ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo cha Kodi Tanzania (ITA) ambacho kipo chini ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kilichopo...
Watu watano wauawa na wengine watano wajeruhiwa katika makabiliano ya silaha katika jimbo la Illinois nchini Marekani
Watu watano wafariki katika makabiliano ya silaha Illinois Marekani
Watu...
Mwandishi Wetu
TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), mkoani Dodoma imewakamata wajumbe watatu waliotathimini zabuni ya kutafuta mtaalamu wa kuweka viyoyozi kwenye jengo la kisasa mali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.