kameranzuriulinzimzuri
Member
- Jan 14, 2019
- 64
- 61
Kila mtu anajua umuhimu wa Bima ya afya. Bima zipo katika makundi mbalimbali, tofauti ni uwezo wa mtu
I. Zipo zinazoishia hosipitali za Wilaya, Mkoa, Rufaa
II. Zipo nyingine zinazoruhusu kutibiwa hosipitali zote kubwa Afrika
III. Zipo bima kubwa ambazo unatibiwa popote Duniani mfano Apolo
Inakuwaje watu maarufu kabisa kama hawa kina Ruge ,Tundu wanakosa Bima ya Afya!
Mbaya zaidi wameaza kuombaomba ili wachangiwe! Elimu ya Bima haijawafikia?
Hivi wale ndugu zangu wa kule kijijini watajua kweli umuhimu wa bima?
Kuna tatizo sehemu lazima tubadilike lakini sisi Wafrika ni mwiko kuongea wakati wa kura. Mungu wabariki sana wagonjwa wapone haraka ili warudi katika majukumu yao ya kila siku.
NB.TUCHUKUE KAMA SOMO KWETU SISI WAGONJWA WATARAJIWA.
Sent using Jamii Forums mobile app