Je hii inaeza kuwa ni dawa kwa wanawake wanavaa vibaya?

Random

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
790
1,000
Jambo..

Utamaduni wa kizungu kimavaz ya kike hasa katika maeneo ya mijini unakuwa practised ipasavyo, ukimsema mwanamke au kumgusa kwa mavaz ake utaskia manyanyaso ya KIJINSIA bila kujua na wao wanatufanyia wanaume manyanyaso ya KIHISIA NA KISAIKOLOGIA

Titi nje karibu lote, vyupi vinachora au vimetokeza nyuma, mibano kupindukia, kitovu nje, michoro ya nyeti kwa nguo lain etc

Kwa habar zaid ya sample ya dawa yao angalia clip hii chin;

View attachment d63c867fa53875c8fbec4a2fdbc725e7.mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eng Kahigwa

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
752
1,000
Jambo..

Utamaduni wa kizungu kimavaz ya kike hasa katika maeneo ya mijini unakuwa practised ipasavyo, ukimsema mwanamke au kumgusa kwa mavaz ake utaskia manyanyaso ya KIJINSIA bila kujua na wao wanatufanyia wanaume manyanyaso ya KIHISIA NA KISAIKOLOGIA

Titi nje karibu lote, vyupi vinachora au vimetokeza nyuma, mibano kupindukia, kitovu nje, michoro ya nyeti kwa nguo lain etc

Kwa habar zaid ya sample ya dawa yao angalia clip hii chin;

View attachment 1028772

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Mungu awasaidie
 
matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
2,714
2,000
Utamaduni Wetu wanatakiwa watembee uchi wazibe kwenye ninii tu. Hivyo ndivyo msandawe wa kibongo alitokelezea
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom