Nataka kwenda ulaya naomba msaada wenu

Nataka kwenda ulaya naomba msaada wenu

kinundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
2,028
Reaction score
2,169
Nina ndoto toka nikiwa Mdogo kwenda ulaya nikaishi huko.... Sasa naomba msaada kujua vitu vifuatavyo

1.ni nchi gan ambayo ina fursa nyingi za kukuingizia kipato haswa huko ulaya

2.ni nchi gan isiyokua na ubaguzi wa rangi yan mtu yeyote anaishi bila kubuguziwa ata kidogo..

3.ni nchi gan ambazo wanatoa scholarship za kusoma masters huko ulaya yan free

4.nan ambaye ka experience maisha ya huko ulaya na jambo gan alikutana nalo uwenda baya ama zuri ambalo hatoweza sahau..

5.anayejua utaratibu wa kufuata hadi mtu ufike ulaya...

Je! Kuna website yeyote ile inayo husika na michongo ya ulaya kama kikazi ama kimasomo.. Ama kuhamia kabisa iwe kama nchi yako..

Mwenye anajua naomba msaada huo kama kuna website tusaidiane.. Napenda sana maisha ya ulaya kiujumla..

KARIBU ULAYA BONGO....
 
Watu wengi wanafikiri Ulaya au Marekani maisha ni rahisi sana, bahati mbaya wakifika huko yale maisha waliokuwa wanaota au kuona kwenye tv sio hali halisi. Ulaya au America you need to struggle bro! Wazungu hawataki mchezo kabisa.
 
Vp broo michongo si ipo kama unakaelimu kokote.... Vp unauzoefu gan na maisha ya ulaya mkuu
 
Ila angalia usiende india na marekani aisee huko kuna ubaguzi hatari lakini India wamezidisha hawavumi lakini wamoo..
Bara la Asia brooo si kama Africa tuu.. Ulaya mkuu ndio nahitaji huko
 
Sekta ya utalii imewatoa sana ma-waiter wa ki-Morocco, wa mama na bibi ni vya kitasha vikifiwa holiday wanapambana nao mpaka kieleweke.
 
Inategemea na masomo unayotaka kusoma. Kwa kuishi bila tabu ni inchi za Scandinavia moja wapo ni sweden (hiyo ni kutokana Na experience yangu) sijawahi kusikia ubaguzi wowote Huku Na hiyo yote ni kwasababu wana sheria kali sana. Kama ni kwaajili ya kusoma masters chukua hii website www.si.se unaweza bahatika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwa sisi vidume inakuaje?
 
Inategemea na masomo unayotaka kusoma. Kwa kuishi bila tabu ni inchi za Scandinavia moja wapo ni sweden (hiyo ni kutokana Na experience yangu) sijawahi kusikia ubaguzi wowote Huku Na hiyo yote ni kwasababu wana sheria kali sana. Kama ni kwaajili ya kusoma masters chukua hii website www.si.se unaweza bahatika.
Nashukuru mkuu.. Vp kama unataka kuishi kabisa huko mkuu...
 
Alafu sijui wanatumia lugha gani hii mkuu
 
Nashukuru mkuu.. Vp kama unataka kuishi kabisa huko mkuu...
Sinauhakika sana maana mi nipo kishule lkn kuna vijana walikuja kusoma masters baada ya kumaliza wakatafuta kazi huku Huku. Ukifanikisha kufanya kazi kwa muda miaka miwili consecutively ukijumlisha na miaka miwili ya kusoma hiyo masters unapata uraia WA Huku Huku.
 
Lakini hyo lugha sijaielewa na vp masters za huko wanataka GPA ya point ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom