Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1: Wanataka wakupeleke harakaharaka ili ufikiri baada ya kuwa umeshafanya maamuzi na wao wameshakula chao. 2: Akikuona mjanja anajifanya kama anaharaka au anamadili mengine, au...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Mwanzoni mwa mwezi January mwaka huu 2019, UDASA ilitangaza mgogoro na serikali kwa kile cha kutowalipa malimbikizo ya posho za nyumba (kwa wanaostahili) kwa zaidi ya miaka 5 tang 2014 pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wengi wetu tumekuwa tukilalamika kuwa nyumba zetu zimekua hazikaliki, vyumba pia vimekua havilaliki licha kua na farniture pamoja na mapambo mengi ya luxury au hata visivyo na luxury lakini...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Elfu 10 ni pesa ndogo sana ni kama 27 kwa siku kwa line1 ,kama unaline 2 iwe 20000. Na kodi hii ni kwa ajili ya matumizi ya simu, mwaka ukiisha sim card inakuwa inactive mpaka ulipe TRA au kwenye...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna Bibi hapa namuoana anaparangana usipime. Anasuka mikeka, anajilimia bustani za mboga zake, mahala pa daladala anatembea mguu, Anafuga vikuku, haombi mtu fedha Bora alale njaa. Anasaidia...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Basi linalomilikiwa na Kampuni ya Coast Line lililokuwa likitoka mkoani Katavi kuelekea jijini Arusha lilipata ajali ya kupinduka Jana maeneo ya wilaya ya Sikonge mkoani Tabora Taarifa zinasema...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari za jioni wana JF na poleni kwa majukumu! Nipo Dar natarajia kusafiri kwenda Dodoma siku ya ijumaa kikazi.Naomba mnifahamishe usafiri mzuri wa bus(luxury) na hoteli nzuri ya bei nafuu...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Taifa letu linapita katika kipindi kigumu.Kila kukicha ni migogoro ambayo inamhusisha Rais wetu Dk.John Pombe Magufuli moja kwa moja. Suala la korosho tunalichukulia kama hoja ndogo lakini...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
Kila mtu akifunga iki kifaaa itakuwa mwisho wa Wasiojulikana na pia mwisho wa watoto kuuliwa kwa iman za kishirikina. Pia itakuwa salama kwa wanaharakati kupotea na kutekwa kwa watu na kupotezwa...
0 Reactions
6 Replies
799 Views
Habari wadau Mimi natafuta machine ndogo ya Welding ila iwe ya Mtumba ila iwe mtumba wa Nje sio mtumba wa ndani, sitaki ya Dukani ,Mwenye nayo ani PM Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hali sio nzuri baada ya kuadimika kwa condom hapa nchini. Yote hii ni sababu ya misaada kukatishwa. Raia mnapaswa mjiongeze msifanye ngono kwa kipindi fulani mpaka misaada itakapoanza kuja tena...
6 Reactions
58 Replies
5K Views
Papa wa Vatican nimempongeza kwa hatua ya kushughulikia suala la ushoga ambalo limekuwa mara nyingi linaichafua sifa ya Kabisa la Petero, ni suala la kumpongeza kabisa Kwanza kuthubutu kufanya...
4 Reactions
49 Replies
7K Views
Nape juzi alikuwa ana lugha chafu kupindukia! Lakin leo anahitaji huruma ya wananchi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Leo nipo Kyela, nikaona matangazo yamejaa mji mzima, nikasema ngoja niende, duuh uozo mtupu, picha linaanza kiingilio 5000 sehemu ambayo haina kivutio chochote. Hakuna sehemu unaweza kununua...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Migingo Island covers less than half a football pitch but over 500 people live on this tiny East African fishing island. The rock island, with its poorly constructed huts, a tiny port, some...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
By Special Correspondent, Pretoria,20-02-2019: AFRICAN countries have been advised to emulate Tanzania’s President John Pombe Magufuli in efficient management of their country’s natural resources...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
World Vision enzi hizo bhana siyo sasa! Sasa imekuwa hayawani mno. Shirika halina pesa na mauchunguzi kibao kila siku na kila mradi. Ambao tumefanya kazi World Vision Tanzania tutakuwa tunajua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani mi nashauri serikali ijaribu kuwachunguza hizi kampuni za kigeni. Kuna hawa freelancers wa hapa Mwanza kampuni imewapa kazi ya kuuza line na kuwaahidi kuwalipa commission ya 450 kwa kila...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Pamoja na tofauti zetu za kiitikadi lakini linapokuja suala la ndumba na miti shamba Mkuu Mshana Jr ndio kimbilio letu. Tafadhali nifumbulie hilo fumbo la hawa wagombea urais wa 2015 na pengine...
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Back
Top Bottom