Kumdai marehemu

Kumdai marehemu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,065
Reaction score
61,398
Nashangazwa jinsi watu walivyo makauzu yaani kweli kabisa wanatangazwa watu wanaomdai marehemu pesa wanajitokeza mpaka watu wanaomdai elfu 20.jaribuni kuwaonea huruma familia aliyoiacha Kama hawana msaada mwingine unasamehe tu hilo deni.mimi naweza kukudai kiwango kinachoanzia laki tano na hapo Ni kama na uhakika umeacha kiasi kikubwa, tofauti na hapo siridhiki na hii taratibu iliyopo Africa pekee ya kudaiana hela ndogo ndogo mpaka laki moja TU mtu unakomaa ulipwe sio POA.
 
Ndo mana watu wanadai kwa sababu ni ndogo,alfu 20k sasa mtu anashindwaje kulip mkuu mpaka usamehe?

Au kama ni kubwa huoni kama akidai deni lake itamsave?

Lakini bora kusamehe kumdai marehemu hilo ni bora zaidi,lakini haina maana unaroho ngumu ukimdai,ni hiari yako
 
Uislamu ni dini ambayo imegusa mfumo kamili wa maisha ya binadamu,uliona ili mapema, MTU akifa kabla mirathi haijagawanywa lazima madeni yake yajulikane na yalipwe yote.

Uislamu unatambua wapo watakao samehe na ambao hawatasamehe so haki lazima itendeke kwa watu wote .

Pia husimlaumu anayedai ni haki yake .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Din ya Haki....
Din ya MnyaaziMngu...
 
Uislamu ni dini ambayo imegusa mfumo kamili wa maisha ya binadamu,uliona ili mapema, MTU akifa kabla mirathi haijagawanywa lazima madeni yake yajulikane na yalipwe yote.

Uislamu unatambua wapo watakao samehe na ambao hawatasamehe so haki lazima itendeke kwa watu wote .

Pia husimlaumu anayedai ni haki yake .

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_1387.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom