Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habar zenu wakuu , km kuna yeyote anayejua namna ya kukisajili kingamuz cha azam anieleweshe maaana nimewapigia smu customer care hawapokei Nitashkuru .... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
955 Views
Hakuna maendeleo kama wstu hawaheshimu na kuifuata sheria. Sheria ndio muongozo mama unatuongoza namna ya kuishi pamoja na tofauti zetu. Mimi ni muumini wa utawala wa kufuata sheria, kama una...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameziagiza Hospitali za rufaa zote nchini kuwa na ICU kwaajili ya watoto wachanga ili kupunguza vifo vifo vyao. Waziri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello waungwana nina jambo moja linanisumbua akili. Mwaka jana nilipata kwenda kutembea Mombasa Kenya, nikapita mpakani kwa kugongewa muhuri wa EXIT TANZANIA na ENTRY KENYA Kwa bahati mbaya...
1 Reactions
62 Replies
12K Views
mwanamke anayenyonyesha na hapati mzunguko wake wa hedhi, je akijamiana na mwanaume anaweza kupata ujauzito ili hali bado ana kichanga? Majibu tafadhari
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za wikendi wandugu wa Jukwaa hili. Niende moja kwa moja katika swala lilionifanya niandike kwa kidole kimoja hapa. Ni hivi awamu hii ya tano, mnakumbuka soko la bidhaa ya ngozi ya ng'ombe...
0 Reactions
2 Replies
778 Views
Baada ya kupata ushauri mbali mbali nami nikaamua kuchanganya akili yangu, Uzi ilikuwa hivi Hello waungwana nina jambo moja linanisumbua akili. Mwaka jana nilipata kwenda kutembea Mombasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana MMU naomba mnifahamishe kati ya A Town na Moro Town ni mkoa upi bora kwenye nyanja za Miundombinu ya barabara na usafiri Huduma muhimu zakijamii kama maji na umeme Mpangilio wa mji na usafi...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Maofisa wa ngazi ya Juu kutoka Kampuni ya mafuta TOTAL wametembelea Bandari ya Dar es Salaam kuangalia miundombinu ya Bandari hasa hali ya njia za reli TRC na maeneo ya kuhudumia meli. TOTAL...
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema mpaka wa Tanzania na Kenya wa Holili wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, hauko salama kutokana na kuwapo kwa njia nyingi za panya ambazo wahalifu hutumia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimepita katika mitaa kadhaa ya jiji la dar es salaam. Nilichokiona kinasikitisha, Mitaa michafu, watu wamekondeana, fremu zimefungwa na zilizofunguliwa wateja ni wa kuhesabu. Ukizunguuka ukaenda...
53 Reactions
200 Replies
22K Views
Halmashauri ya jiji la Dsm na ile ya Manispaa ya ubungo zimeanza kusimamia kisiasa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani. Kituo hiki ni mbadala wa kile cha ubungo...
3 Reactions
94 Replies
21K Views
Angalia huko majuu wazungu wakisukuma ndege yao kurudi nyuma lakini watanzania wamesukuma tu ndege yao basi maneno maneno tu utafikiri sijui kimetokea nini kwenye tweeter huko ndiyo usiseme wakina...
9 Reactions
56 Replies
5K Views
Ukiamka asubuhi nchini Tanzania na kufungulia station mbalimbali za redio kitu ambacho utakuwa unasikia ni watangazi vijana wadogo wa kiume na kike kusoma habari za magezti na kuchekacheka tu huku...
11 Reactions
54 Replies
6K Views
Miaka ya nyuma elimu ilikuwa n nzuri na tatizo kama vile utoro mashuleni haukuwa mkubwa kama ilivyo ivi sasa ilihali ya kuwa serikali yetu imejitahidi sana katka kupiga hatua katika swala zima la...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
UTEKELEZAJI wa agizo la Rais John Magufuli la kufungwa kamera kwenye Daraja la Juu ‘ yover’ la Mfugale eneo la Tazara jijini Dar es Salaam, limeanza kutekelezwa baada ya Kampuni ya E1, kufunga...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Huko Babati mikoani Manyara juzi kuliibuka taharuki baada ya mtoto wa darasa la tano anayejulikana kama Mathayo Ezekiel kuamua kujinyonga hadi kufa na kumfuata mwanafunzi mwenzie ambaye naye...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika hukumu ambazo zimenipa simanzi nzito basi ni hii ya huyu dogo aliyehukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kuchoma kituo cha polisi. Kosa walilolifanya na adhabu waliyopewa ni kubwa mno...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imesema kwamba asilimia 99 ya wagonjwa wenye vivimbe vya kinywa (dental ehemngiomas) hivi sasa wanapatiwa huduma ya kibingwa ya tiba radiolojia (interventional...
0 Reactions
3 Replies
759 Views
Wanajamvi, Leo nilikuwa kwenye kituo flani cha mabasi, nilikuwa na njaa sana. Basi nikasema nitafute kifungua kinywa. Vibanda vyote na migahawa ikawa imefungwa. Nikasema acha basi nitafute...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom