Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Watu watano wauawa na wengine watano wajeruhiwa katika makabiliano ya silaha katika jimbo la Illinois nchini Marekani
Watu watano wafariki katika makabiliano ya silaha Illinois Marekani
Watu watano wauawa na wengine watano wajeruhiwa katika makablainao ya silaha katika jimbo la Illinois nchini Marekani
Watu watano waripotiwa kufariki na askari watano waripotiwa kujeruhiwa katika makabaliano ya silha yaliotokea katika jimbo la Illinois nchini Marekani.
Makabilianao hayo ya silaha yametokea katika eneo la kufanyia kazi Auroro Mashariki mwa jimbo la Illinois.
Kamanda wa jeshi la Polisi katika mji wa Aurora kwa jina la Kristen Ziman amewaambia waandishi wa habari kuwa aliendesha shambulizi hilo aliuawa wakati wa tukio.
Kamanda huyo wa jeshi la Polisi amesema kuwa aliendesha shambulizi hilo katika eneo la kufanyia kazi amefahamika kwa jina la Gary Martin mwenye umri wa miaka 45.
Rais wa Marekani Donald Trump katika ukurasa wake wa Twitter a amepongeza jeshi la Polisi na kutoa salama za rambi rambi kwa familia za wahanga wa tukio hilo.
Trt