Hili limetokea kwenye bus T881DJP lililoondoka Morogoro saa 4:30 asubuhi kwenda Dar, abiria walio wengi wanalalamika kutokana na harufu mbaya inayorudi ndani ya bus, dereva amekiri kuwaona samaki...
Kuna moto umezuka katika ghala la kuhifadhia pamba huko mbagala kwenye kampuni ya EXPORT TRADING COMPANY.
Mpaka sasa hivi tathimini ya idadi halisi ya marobota hayo ya pamba yaliyoungua bado...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kukagua Maendeleo ya ujenzi wa viwanda vya Dawa vya Vista Pharma Ltd na Kairuki Pharmaceutical Ltd...
Kwa mbali naona mjadara ulio usu zao la korosho,unaelelekea kifungwa ingawa haukuwa mjadara ambao tunakiwa kuufunga haraka hiv,ila nmeisha anza kuona dalili za kuufunga!
Je ni tukio la...
Assalam,
Napenda kujua mazoezi ya aina gani ni mepesi na hayahitaji uwanja mkubwa, gharama kuyafanya.
Naomba msaada wenu...nahtaj kufanya mazoezi nikiwa home tatizo kiwanja kidogo sana.
Mkoa wa kilimanjaro haswa mji wa moshi na mji mdogo wa himo na maeneo mbalimbali mkoani hapo huwa haipiti miezi miwili hujasikia mfanyabiashara kavamiwa na majambazi na kumpora pesa...
Askari Polisi wa hapa nchini wamekuwa watu wa kwenda kinyume na sheria nyingi tu. Pia ni wanyanyasaji na waonevu wanapokuwa katika kazi yao.
Sasa endapo Askari Polisi amekufanyia ndivyo sivyo...
Timu ina kila kitu pesa,viwanja, malupulupu, usafiri mzuri na kila aina ya incentives.
Njoo uwanjani sasa timu inacheza kama ipo umitashumita kweli? yani pesa yote mtu kawekeza alafu litimu...
Habari wakuu.
Naomba kujua hawa Nat Geo Wild wana ofisi EA na kama ipo ni wapi ?
Natanguliza shukrani.
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose...
SERIKALI imezuia Sh. bilioni 38 zilizokuwa zielekezwe kwenye utekelezaji wa miradi mitatu ya kimkakati ya kuijengea uwezo kimapato Manispaa ya Kinondoni, baada ya kubainika kuwa utekelezaji wa...
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH), imefanikiwa kuwatibu wagonjwa 220 wakiwamo wenye uvimbe wa kinywa kwa kutumia mfumo wa radiolojia tangu kuanzishwa kwa Kitengo Radiolojia hospitalini hapo...
Wadau nisaidieni kuna kanisa la kilokole hapa mtaani kwangu yaaani wanapiga muziki hadi usiku wa saa saa saba, na wanamka tena saa kumi alfajiri wanatoa spika nje. Nisaidieni nianzie wapi manake...
WANANCHI zaidi ya 200,000 wa mtaa wa Msakuzi, Kata ya Kwembe Ubungo, wameishukuru serikali na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) kwa kuwafikishia huduma ya majisafi ambayo...
Katika hali isiyo ya kawaida Kijana Daudi Mwanjoka mkazi Kitongoji cha Majengo Ilembo Kata ya Vwawa Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe alimfumania Mkewe akivunja amri ya sita (kuzini) ambaye amezaa...
Serikali imeanza ujenzi wa njia ya umeme wa Gridi ya Kimataifa ambao utaunganisha Tanzania na mataifa mbalimbali ya Afrika ikiwemo Zambia, Kenya,Malawi na Botswana ambapo mradi huo unatarajiwa...
Mwaka 2017 iliendeshwa harambee ya kumchangia msanii Pests Man anaeishi Mwanza, huyu jamaa aliugua muda mrefu sana tatizo ni Uti wa mgongo na alikuwa kitandani kwa muda mrefu sana mpaka hapo...
Wala tusikae tunasumbuana kila siku mmemuajiri nyie na kumfukuza mtamfukuza nyie ila uku mtaani kila mechi wanataka atangaze yeye, ile mechi ya simba na nkana fc alitaganza yeye lakini kwa sasa...
Majokofu 1,385 ya kutunzia chanjo yenye thamani ya Sh13.9 bilioni yanatarajiwa kusambazwa katika vituo mbalimbali vya afya na hospitali nchini.
Mbali na majokofu hayo pia Serikali imetambulisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.