Hatua zipi za kuzifuata katika kumshitaki Askari Polisi?

Hatua zipi za kuzifuata katika kumshitaki Askari Polisi?

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,650
Reaction score
3,819
Askari Polisi wa hapa nchini wamekuwa watu wa kwenda kinyume na sheria nyingi tu. Pia ni wanyanyasaji na waonevu wanapokuwa katika kazi yao.

Sasa endapo Askari Polisi amekufanyia ndivyo sivyo unamshitaki kwenye chombo kipi. Je, unaweza kumchukulia RB na kwenda kumkamata kama raia wa kawaida?

Wadau na wanasheria embu tusaidiane mchango katika hili.
 
Askari polisi ni sawa na kukosewa na mtoto wa Jirani unapaswa kwenda kumshtaki kwa mzazi wake. Polisi akikukosea nenda kashtaki kwa bosi wake. Very Unfair.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea amekukosea kwenye muktadha gani,kama amekufanyia jinai anashitakiwa kama kawaida ila kama amefanya shambulio la mwili/nguvu ya ziada wakati akitaka kutekeleza majukumu yake hapo lazima atakushinda wa hoja ya "KUMZUIA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE".
 
Write your reply...mapoti hawa hawa?? naona unataka kwenda kwa shetani bila miwani!
 
Wala usihangaike hutapata haki yoyote zaidi ya makofi huko uendako
Wanabebana kama magunia hao

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom