Nat Geo Wild wana ofisi Africa Mashariki ?

sweetlee

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
4,047
2,000
Habari wakuu.
Naomba kujua hawa Nat Geo Wild wana ofisi EA na kama ipo ni wapi ?
Natanguliza shukrani.

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...
 
sweetlee

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
4,047
2,000
Wakuu nasubiri jibu lenu

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...
 
Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,493
2,000
Tembelea tuvoti yao utapata mawasiliano yao waulize.

Usipende kua mtu wa kutafuniwa, penda kujiongeza.
 
sweetlee

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
4,047
2,000
Tembelea tuvoti yao utapata mawasiliano yao waulize.

Usipende kua mtu wa kutafuniwa, penda kujiongeza.
Si lazima ungejibu lakini

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom