Azam Tv Baraka Mpenja mmempeleka wapi?

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,311
2,000
Wala tusikae tunasumbuana kila siku mmemuajiri nyie na kumfukuza mtamfukuza nyie ila uku mtaani kila mechi wanataka atangaze yeye, ile mechi ya simba na nkana fc alitaganza yeye lakini kwa sasa mechi zote za kimataifa za simba mnaleta watu wanangaza kiarabu sijajuwa ni kwanini? Mechi kubwa kama simba na yanga katangaza Ashimu ibwe kweli? Sijasema kwamba ibwe ni mbaya ila muacheni kule kwenye ligi ya spain uku kwetu tunamtaka mpenja akikosekana yeye basi atangaze Ramadhani ngonda watu tupate radha ya mpira sio tunaangalia mpira kama tupo kilioni tafadhali sana.
 
Ndiki de boss

Member
Jan 19, 2017
93
125

Tunakosa ule udambwi udambwi kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom