UCHAWI!MAMA NANIHII AKUTWA MAKABURINI ASUBUI LEO NDANI YA CHUO CHA USAFIRISHAJI DAR.
Richard Bukos na Musa Mateja
Hali ya hewa imechafuka, dhana ya uchawi inatawala vichwa vya wengi, wengine...
Historia ya kweli ni mwalimu asiyeweza kupingwa. Takwimu zinaonesha kila mwanaccm mpya akichaguliwa kuwa rais wa JMT basi anapomaliza kipindi chake cha urais huwa anaiacha sarafu ya nchi ikiwa...
Jamani acheni kukasimusha na kuoutsource bongo zetu.
Lissu akisema jambo lifikirini na kulijadili sio kunywa huamini na kusherehekea.
Kuna watu wanamfanya huyu Mh kama mahakama, FBI, Malaika...
Ukibahatika kuwasikiliza wanandoa wengi watakueleza kwamba mwanzo wa uchumba wao na hata mwanzo wa ndoa mambo yalikuwa bumbum. Walikuwa wanalicheza sebene kisawa sawa. Lakini baada ya kuingia...
Hivi karibuni kumekuwa na muamko wa watanzania kutaka kujua kuhusu biashara ya Forex.Aidha kumekua na madarasa kadhaa yakitoa elimu hiyo kwa vijana wa kitanzania na kwa bahati nzuri na mimi sikuwa...
Wakuu.
Natumaini wote tu wazima kwa uwezo wa Mungu wetu, imenilazimu tena kuja jukwaani ili tupeane taarifa za mawili matatu yanayojiri kila leo ktk maisha yetu ya kila siku.
Baada ya kuonekana...
Wasaalam
Kwa sasa limeibuka wimbi la wafanya biashara hasa vyombo na electronics kutembeza biashara zao kwenye magari hasa noah kupeleka kwenye taasis kama shule na kuuza kwa mkopo
Kwa vile ni...
Hii kitu inaniumiza sana. Kitendo cha kunyang'anywa Korosho zetu kibabe na leo kurudishiwa tena tukitangaziwa hazina viwango.
Tutamuuzia nani au ndio tuzigawe bure. Mimi nashauri wazile tu hao...
Wale bendera fata upepo ambao kazi yao ni kelele kila kukicha wanalalama tu serikali mbovu mbovu Poleni sana.
Mlikua wapi 2015 Kuchagua viongozi ambao wangewafaa, Mkaacha tuwachagulie?
Twende...
Na Rubaba Protas
Mwaka 2008 nilifanya safari ya kwanza kwenda kwenye mji ambao nilitamani kufika toka nikiwa na umri mdogo kabisa kutokana na historia yake niliyokuwa nikiisikia hasa wakati wa...
Wakubwa, Kama Kuna Mtu Anawafahamu Wazazi Au Hata Wakili Wa Khalfan Mshengeli Mtoto Wa Shule Ya Msingi Bunju A, Ambae Jana Alihukumiwa Kifungo Cha Maisha Gerezani, Tafadhali Wasiliana Na Wakili...
Msanii wa kizazi kipya seba tommy kutoka mkoan tabora kakilalamikia chama cha wasanii wa mkoa huwo u.v.sata kuwa hakija mtendea haki katika kuifungia nyimbo take ya mboka icon, sijaona kigezo cha...
Kuna baadhi ya askari polisi wanaboa sana kwa tabia yao ya kuomba omba hela kisa kakusaidia kesi Fulani kituoni
Polisi anaomba rushwa ili aifute kesi unatoa rushwa unaachiwa si mnajua polisi...
Ninakushukuru sana Mbunge kwa kuunga mkono shirika letu la ATCL kwa kupanda ndege iliyonunuliwa na kodi za walipa kodi nchini.
Huu ndio uzalendo wa kweli pamoja na kupiga kelele kwenye majukwaa...
Sio kwasababu tu ya yale yaliyokwisha tokea bali kwa yale yatakayotokea.
Kwa wale wanaofuatilia mtiririko wa mambo pamekuwa na ajali nyingi mwezi February mwaka huu na historia inaonesha pia...
Mama huyu ni Moja Kati ya Waandishi wachache (Author) wa Kike Tanzania Kuwahi Kuwapata.
Bi Fatuma Mohammed Salimu amefia Zanzibar alikokua akiishi hizi ni Moja Ya Kazi zake.
Imagine wewe hata...
"Hatupumulii mashine kama wanavyodhani, hakuna wakati CHADEMA imekuwa imara kama wakati huu. Tunafanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye vikao vyetu vya ndani. Tunazunguka nchi nzima kwa ajili ya...
Mwanza. Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) mkoani Mwanza, Jonathan Musa anashikiliwa na polisi kwa mahojiano kuhusiana na taarifa za watu kukamatwa na vichwa vya...
Habar zenu wakuu , km kuna yeyote anayejua namna ya kukisajili kingamuz cha azam anieleweshe maaana nimewapigia smu customer care hawapokei
Nitashkuru ....
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.