GHARA LA KUHIFADHIA PAMBA LASHIKA MOTO- MBAGALA

GHARA LA KUHIFADHIA PAMBA LASHIKA MOTO- MBAGALA

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
2,295
Reaction score
5,458
Kuna moto umezuka katika ghala la kuhifadhia pamba huko mbagala kwenye kampuni ya EXPORT TRADING COMPANY.

Mpaka sasa hivi tathimini ya idadi halisi ya marobota hayo ya pamba yaliyoungua bado haijafanyika ingawa wamefanikiwa kuidhibiti moto kwa kiwango kikubwa.

Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana ingawa kuna taarifa nyepesi nyepesi kuwa kulikuwa na kazi ya kuchomea (welding) ilikiwa inafanyika kwenye hilo ghara. Hivyo inawezekana moto ulitokana na hiyo kazi.

Polisi wamefika kwa ajili ya upelelezi ila hakuna chombo cha habari kilichoingia kuripoti kadhia hii.

Taarifa hii nimepewa na kijana wangu anauefanya kazi pale.

Kwenye picha ni baadhi ya pamba iliyoungua .
IMG_20190223_092902.jpeg
IMG_20190223_092851.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom