diana chumbikino
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 428
- 368
Serikali imeanza ujenzi wa njia ya umeme wa Gridi ya Kimataifa ambao utaunganisha Tanzania na mataifa mbalimbali ya Afrika ikiwemo Zambia, Kenya,Malawi na Botswana ambapo mradi huo unatarajiwa kutumia zaidi ya bilioni 600 hadi kukamilika kwake mwezi june 2020.