Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, Ningeomba kujuzwa juu ya utaratibu wa muda maalum kwaajiri ya kunyonya kinyesi na maji machafu kutoka kwenye makalo. Nimekuwa nikijiuliza juu ya suala hili kwa muda mrefu sasa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Mwanza inalishikilia gari lori aina Fuso lililokuwa likisafirisha shehena ya sampuli za madini kutoka mkoani Geita kwenda jijini humo. Mwenyekiti wa kamati...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Nafatilia karibu msiba wa ndugu yetu.Nimebaini wasanii wanalia mpaka wanakufuru.Ndugu zangu vitabu vya dini vinatufundisha pindi tupatwapo na misiba tuseme "sisi ni wa M/Mungu na kwake ni...
13 Reactions
88 Replies
10K Views
Dudu baya anatofauti na Marehemu Ruge Mutahaba, lakini serikali na wana ccm wameufanya ni msiba wa chama chao na serikali hiyohiyo ya ccm nayo imeufanya msiba ni wao. Marehemu alikuwa b binadamu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa pamoja na mkewe Mama Regina Lowassa wamefika kutoa pole kwa familia ya Ruge Mutahaba.
7 Reactions
23 Replies
6K Views
Leo imekuwa ni siku ya pilika nyingi kwa wabongo hasa wa DSM Kuna mwanasiasa eti hajui kwamba airport kuna kitengo cha cargo Lakini huyu ni msomi ,shida ni kuwa Leo ni Siku ya kujisahaulisha ...
2 Reactions
3 Replies
879 Views
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amuagiza uongozi wa Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro kuuchunguza mkataba wa ukarabati wa shule kongwe ya Sekondari ya Wavulana-Mzumbe...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Binafsi naona ni kauli yenye ukakakasi, kwa Mkuu wa Polisi nchini, Sirro, kwenye kufanya ukaguzi wa ujenzi wa SGR na kusema "kasi inayoendelea katika ujenzi huu naridhishwa nayo kwani juhudi...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Naweza kuonekana mbaya Kwa kuhoji ila tutambue uungwana ni vitendo . Wengi tulijitoa sana Kwa ajili ya kuchangia gharama za matibabu ya ndugu yetu aliyetutoka baada ya kuugua Na kutibiwa huko...
8 Reactions
56 Replies
5K Views
Mh. Makamba hivi hujui kuwa kuna watu ni mizigo ingawa bado wako hai[emoji19] [emoji18] Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Sijajua watu wanaovunja sheria mtaani , kuiba , kubaka , kukaba watu , kutukana viongozi na makosa mengineyo kama wanajua maisha ya gerezani yalivyo na mateso na msoto mkubwa sana mwanzo mwisho...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Basi liitwalo Kiazi Kitamu limepinduka eneo la Monduli, Arusha leo asubuhi. Hakuna vifo au majeruhi walioripotiwa.
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Mheshimiwa Kangi Lugola, heshima yako kiongozi. Mimi ni mkazi wa Kigamboni eneo la vijibweni. Nina jambo moja tu, tuna tatizo la wavuta bangi uwanja wa mpira unaojulikana kama uwanja wa kwa...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwa maana naona wamachinga na wafanyabiashara wadogo wadogo wanaenda kuelekea kuisha . So Serikali iangalie jinsi ya kuwapa watu wanaomiliki gari vitambulisho. Lengo ni shilingi elfu 20 itolewe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nianze tu kwanza kwa kusema wafiadini huu uzi mpige kimya Ndugu zangu Waislam huwa napenda sana mfumo wenu wa kushughulikia misiba yaani inapotokea mwenzenu katika imani ametangulia mbele za haki...
94 Reactions
520 Replies
51K Views
Kamanda wa Polisi Kinondoni, Mussa Taibu amesema Msanii, Dudu baya anashikiliwa kituo cha polisi Oysterbay kwa mahojiano #MwananchiUpdates. Current Updates. Dudu Baya aachiwa kwa dhamana Jeshi...
8 Reactions
149 Replies
17K Views
Kama mada ilivyo hapo juu, nawaomba Wana Jamii Forum wanaomfahamu Mchungaji Charles Gadi na anapofanyia Ibada yake au yeye mwenyewe anifahamishe. Niliwahi kupata fununu kuwa yupo maeneo ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawasalimu wote kila mmoja kwa imani yake, itikadi ya chama chake na kigezo cha umri wake! Itifaki imezingatiwa. Humu JF kuna watu wa makundi tofautitofauti. Kuna sisi vijana wa below 25 na kuna...
4 Reactions
72 Replies
12K Views
UFAFANUZI KUHUSU KOSA LA KUDHIHAKI MAITI YA BINADAMU. Na Bashir Yakub. +255 784 482 959 Nimeulizwa na watu wengi ikiwa agizo la Waziri Mwakyembe kuhusu kumtia mbaroni mara moja Dudubaya kwa...
7 Reactions
60 Replies
11K Views
Naipongeza serikali kwa kazi nzuri ya kujenga terminal mpya ya airport, ambayo itatumika kwa ajili ya safari za kimataifa. Jambo moja ambalo nimeona ni kasoro kubwa ni kutokuwapo na njia ya ndani...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…