Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (kulia) akifanyiwa uchunguzi wa sikio na Daktari bingwa wa masikio Dkt. Godlove Mfuko Waziri wa Afya, Maendeleo ya...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa wale mnaotumia barabara hii ya Bagamoyo mtakubaliana nami kwamba hapa njiapanda ya Goba mvua ikinyesha palikuwa tatizo kubwa...ila leo baada ya zile mvua kali za alfajiri kunyesha nimepita...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya ya Newala mkoani Mtwara Bi Aziza Mangosongo amepata ajali usiku wa kuamkia leo Machi 3, 2019 baada ya gari lake kupinduka maeneo ya Mandawa mkoani Lindi akitokea Newala. Mkuu wa...
2 Reactions
37 Replies
10K Views
Hello JF, katika Watu walioacha 'Mark' dunia hii... ni watu waliojitolea kwenye Maisha yao kusaidia wengine katika jamii.. Katika matajiri,proffessionals ama watu wa kawaida..hakuna jina...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Picha hii inaonyesha furaha kubwa aliyonayo mh. Raisi, John Mombe Magufuli. Ila kwa jicho la ndani furaha yake sio kwa sababu ya hawa alionao, bali kile anachofikiri amefanikisha. Wenye furaha ya...
8 Reactions
32 Replies
8K Views
UJUMBE WA MHE.FREEMAN MBOWE KWA WANA-CHADEMA KUFUATIA MHE. EDWARD LOWASSA KURUDI CCM* Julai 2015, tulimpokea Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa katika chama chetu, na baadae kupitishwa na vikao vya...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Huyu jamaa ana thick voice na inavutia kufuatilia makala za utalii humu kwenye channel yetu pendwa kwa sababu ana narrate vizuri sana mzee wa misamiati kv kinamasi. Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Poleni na Majukumu. Sina nia ya kuendeleza mjadala unaohusisha tuhuma za Mke wa Balozi Mahiga kumtukana askari na baadaye Rais Magufuli kutoa agizo huyo askari apandishwe cheo, lakini natoa...
10 Reactions
37 Replies
6K Views
Habari za leo ndugu zangu,hongereni Kwa majukumu. Kuna Jambo huwa linanitatiza tangu nikiwa mtoto mpaka umri huu wa kuitwa mtu mzima hivyo ningependa kuwashirikisha. Hivi roho mbaya ni kitu gani...
3 Reactions
3 Replies
4K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amesema wanawashikilia waganga wa kienyeni 45 katika Mkoa wa Simiyu na wengine 20 wa Mkoa wa Njombe ambao wamewatilia shaka katika operesheni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Yalinifika ya mwaka, kule mbali kiungani, gari liliharibika, nikitokea kazini, usiku ulipofika, nikapata mhisani, kumbe ninatekwa nyara, na shangingi mswahili.. Kwake nikapumzika, kajua na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mama pinga, Kazaa watoto 7 wote wanaitwa Pinga. Kumbe Sasa anatambulika kama Mama pinga pinga. Akijamba na kutoa harufu atapinga. Hata kama kibaologia tunajua mtu lazima aende haja Kubwa ( ugumu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Umetunga kitabu chako kwa miaka miwili, ulipomaliza ukaniletea mimi ili nikusaidie kukisoma kabla hujakichapisha. Nikakipokea na wewe ukaondoka zako kwenda nyumbani kusubiri siku nitakapomaliza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna kitu ambacho wapinzani tunapaswa kutafakari kabla ya kumlaumu Edward Lowassa. Kwasababu hatukuruhusu kutafakari ujio wake kwa kuangali athari hasi kwa chama bali ziliangalia zaidi faida za...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Ndugu zangu, wanaharakati wenzangu napenda kuzungumzia suala hili kwa uchungu mkubwa sana hii ni kutokana wiki chache nyuma ulifanyika msako mkali kwa kushirikiana na polisi pamoja wana-mtaa wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawataadharisha wakazi wa Dar es salaam kuna mvua Kubwa Sana inanyesha hivyo chukueni taadhari hasa wakazi wa mabondeni na kama upo nje ya Dar wasiliana na Familia yako mapema kujua Hali zao...
3 Reactions
48 Replies
6K Views
Mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar es salaam na baadhi ya maeneo mengine nchini Tanzania, je athari ya mvua na hali kiujumla ikoje hapo ulipo? Tushirikiane kutoa taarifa kupitia thread hii...
2 Reactions
210 Replies
27K Views
AMON MTEGA, SONGEA MTOTO Shazira Yahaya aliyeibiwa akiwa na siku saba katika Kijiji cha Likalangiro Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, amepatikana katika Kijiji cha Kokirie Wilaya ya MoshiVijijini...
2 Reactions
36 Replies
12K Views
Hii njia ni tamu ukisafiri kwa njia ya gari au hata basi, njiani hukosi chochote cha kusisimua kutokana na mazingira, watu wake na viswahili vyao, hali ya hewa na kadhalika Ukisafiri kwa usafiri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana bodi na wakatolili wote pia waumini wote wa kanisa katoliki la Roma, maumini mwenzetu Julius Nyerere bado hajatangazwa ni mwenye heri, tuwasaidie wenzetu upande wa pili utaratibu wa mtu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom