Kamanda wa Polisi Kinondoni, Mussa Taibu amesema Msanii, Dudubaya anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Kamanda wa Polisi Kinondoni, Mussa Taibu amesema Msanii, Dudu baya anashikiliwa kituo cha polisi Oysterbay kwa mahojiano #MwananchiUpdates.

Current Updates.

Dudu Baya aachiwa kwa dhamana
Jeshi la Polisi limemuachia kwa dhamana msanii Dudu Baya baada ya kumshikilia kwa saa kadhaa katika kituo cha Polisi Oysterbay.
 
Unamshikilia kwa kosa gani alilolifanya ambalo limemfanya mlalamikaji kufungua kesi dhidi ya mtuhumiwa?na elewa sheria za kumshikilia mtuhumiwa kabla yajapelekwa mahakamani;tukiambiwa tunaishi kwenye shithole tunalalamika wakati matendo yetu yanatuoanisha na shithole country,yeyote aliyekwazwa na matamko ya mtuhumiwa alibidi aende kituo cha polisi na kufungua kesi,sio mtu maadamu ana madaraka anatoa kauli za kumweka mtu ndani,na inanisikitisha mno Waziri wangu kuona kwa muda mfupi umeshasahau ulikotoka kutokana na kujikomba kwako na njaa yako ,ni wewe few years nami nilikuwa mmojawapo wa aliyepigwa na jua katika misa ile ya pale kawe ambayo uliombewa baada ya kupata ule ugonjwa wa ajabu,ulionyesha unyenyekevu wa hali ya juu kwa binadamu wenzako,ukaongea maneno yenye matiki kubwa,leo umeshasahau ILA kuna watu kama mimi hatujasahau na always TIME na HISTORY vitakuja kukuhukumu.
 
lakini sheria hairuhusu kutunaka wala kudhihaki maiti au mgonjwa..kumwambia mgonjwa kufa tu ni kosa .. kama ikithibitika ulifanya hivyo

34D55889-70C5-4625-958C-8DB89B910A19.jpeg
 
Lakini mashtaka yake yatakuwa yepi? Mbona kuna wanaomkejeli Lissu hawakamatwi? Kuna pia waliomkejeli Nyerere alipofariki. Watu kama hao kwenye jamii hawakosekani wachukuliwe tu kama abnormal. Wapuuzwe! Mimi sioni haja ya kuhangaika naye mtu kama huyo. Mwisho wa siku naye kama binadamu ataugua na kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule Naibu waziri
 
Kumkejeli Lissu ni vyema na haki lakini kumkejeli mwana CCM ni kosa la jinai
 
Kamanda wa Polisi Kinondoni, Mussa Taibu amesema Msanii, Dudu baya anashikiliwa kituo cha polisi Oysterbay kwa mahojiano #MwananchiUpdates.
Asanteni Polisi kwa uonezi wenu.

Ufunuo wa Yohana : Mlango 14

13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.Kuvuna Mavuno ya Nchi
 
Huyo alishazoea Lupango,tokea enzi anambutua Mr Nice,polisi nao bwana mambo ya maana yamewashinda,wanahangaika na dudubaya. Atatoka tu Bashite yupo upande wake asilimia mia. Leo nimesikiliza wimbo wa Antivirus wa Sugu. Yote anayoyasema Dudubaya,Sugu alishawahi kusema. Sikilizeni wimbo wa Antivirus.
 
Waziri alikataa Msiba na gazeti lake wasikamatwe kwa kuwa hakukuwa na mlalamikaji,nataka kujua waziri ameagiza Dudubaya akamatwe je Ruge ameenda kulalamika kwa kukashifiwa?
Tuache unafiki sio lazima mtu aongelewe mazuri tu anapokufa,kwani akiongelewa mabaya ndo atafufuka!
Mbona Iddi Amin Dada mpaka Leo anakashifiwa na ni marehemu lakini hakuna aliewahi kuitwa polisi!Unafiki Ni mbaya Sana Bora mkweli kuliko mnafiki anaekupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Back
Top Bottom