Hivi hakuna uwezekano wa kuwapa watu wanaomiliki gari ya aina yoyote vitambulisho vya ujasiriamali?

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Kwa maana naona wamachinga na wafanyabiashara wadogo wadogo wanaenda kuelekea kuisha .

So Serikali iangalie jinsi ya kuwapa watu wanaomiliki gari vitambulisho.

Lengo ni shilingi elfu 20 itolewe tu.

Niko huru kukosolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaza wewe
Ngoja tulifanyie kazi ila sasa nani wa kukusanya? Kama ni wale wa barabarani mmekwisha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Yaa mfano sie wenye passo, vits, Sienta, Stalet, swift na IST tukapewa vitambulisho ili kuvitumia kupunguziwa gharama za mafuta kwenye vituo vya mafuta hata tunapokutana na trafiki
 
Back
Top Bottom