Waziri Kangi, bangi inavutwa waziwazi uwanja wa kwa Mhindi, Kigamboni Vijibweni na Polisi hawafanyi chochote

official scandal

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
323
1,000
Mheshimiwa Kangi Lugola, heshima yako kiongozi. Mimi ni mkazi wa Kigamboni eneo la vijibweni.

Nina jambo moja tu, tuna tatizo la wavuta bangi uwanja wa mpira unaojulikana kama uwanja wa kwa Mhindi. Kila siku jioni vijana zaidi ya 60 hukutana hapo na kuvuta bangi pamoja na kuuza.

Tumeripoti kituo cha polisi Vijibweni lakini hakuna walichofanya. Mkichelewa wananchi wamepanga kuchukua hatua wenyewe maana tunaibiwa na tunavuta moshi wa bangi kila siku jioni.

Naomba ulifanyie kazi maana kituo cha polisi vijibweni kimeshindwa.

Bangi inatuathiri mheshimiwa.

Natamani ujumbe ufike kwa mkuu wa nchi labda tatizo hili litaisha
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,115
2,000
bangi raha sana
Yaani umesahau kuwa ulikuwa unashtaki

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
2,898
2,000
Mheshimiwa Kangi Lugola, heshima yako kiongozi. Mimi ni mkazi wa Kigamboni eneo la vijibweni.

Nina jambo moja tu, tuna tatizo la wavuta bangi uwanja wa mpira unaojulikana kama uwanja wa kwa Mhindi. Kila siku jioni vijana zaidi ya 60 hukutana hapo na kuvuta bangi pamoja na kuuza.

Tumeripoti kituo cha polisi Vijibweni lakini hakuna walichofanya. Mkichelewa wananchi wamepanga kuchukua hatua wenyewe maana tunaibiwa na tunavuta moshi wa bangi kila siku jioni.

Naomba ulifanyie kazi maana kituo cha polisi vijibweni kimeshindwa.

Bangi inatuathiri mheshimiwa.

Natamani ujumbe ufike kwa mkuu wa nchi labda tatizo hili litaisha
Kumbe pia wewe ni mvutaji bagi, ila mbaya zaidi wewe unavuta moshi wa bangi kila siku jioni.

NB:
Ujumbe wako ni mzuri ila sijui kama kuna kitakacho endelea. Hivi ulishawahi ona bangi zinazokamatwa na kupelekwa vituo vya polisi zikichomwa moto? Nafikiri zinatumiwa na -------
 
Top Bottom