kimbweto
Member
- Oct 6, 2012
- 53
- 191
Nafatilia karibu msiba wa ndugu yetu.Nimebaini wasanii wanalia mpaka wanakufuru.Ndugu zangu vitabu vya dini vinatufundisha pindi tupatwapo na misiba tuseme "sisi ni wa M/Mungu na kwake ni marejeo.au "Bwana ametoa na bwana ametwaa". Sasa tusizidishe maneno yasiyokuwepo.Hakika kifo kiwe ni ishara na ukumbusho kwamba wote njia yetu ni moja.maneno kwamba bila yeye mimi nisi ge kuwa hapa sio sahihi wewe upo kwa mpango wa Mungu na yeye ndiye ajuaye kesho yako.Ndugu zangu tusilie sana kumlilia tuzililie nafsi zetu.Kwa yale mema aliyoyafanya tuyafuate na kwa mabaya yake tumsamehe kwani binadamu ni wadhaifu.Na katika sifa njema tuzitaje kwa ukweli tusisingizie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app