Watanzania na pilikapilika zetu

Watanzania na pilikapilika zetu

microX

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
495
Reaction score
414
Leo imekuwa ni siku ya pilika nyingi kwa wabongo hasa wa DSM

Kuna mwanasiasa eti hajui kwamba airport kuna kitengo cha cargo
Lakini huyu ni msomi ,shida ni kuwa Leo ni Siku ya kujisahaulisha .

Achana na hilo nimeangalia TV naona vijana watupu wamesahau shida zao wote wamekua wanariadha .......malizia mwenyewe.

Kubwa kuliko kuna kiongozi aliyegombea uraisi Leo amelamba matapishi take.....sina haja ya kusema zaidi .

Hitimisho Waafrika sorry watanzania tukiamua jambo letu (UJINGA)tunaweza.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndiye uliyeanzisha uzi ukiomba kufundishwa namna ya kuacha upuuzi?
 
Tuko vizuri!hatushindwi kitu sisi,
Tukiamua kusahau tunasahau,tukitaka kukumbuka Sasa....utasema kiama kimefika.btw nahisi mfalme wa amani yuleee aliyepaaga kwa mshua wake atarudia hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaongelea nini wakuu? Wengine sio rahisi ku decode 😊😡👀
 
Back
Top Bottom