Kwako Mh. Makamba.....

Kwako Mh. Makamba.....

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,027
Mh. Makamba hivi hujui kuwa kuna watu ni mizigo ingawa bado wako hai[emoji19] [emoji18]
IMG-20190301-WA0055.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini wenzetu hasa ninyi mawaziri hili mnalikumbuka kukiwa na msiba, kesho tu hata wewe Makamba utakua umesahau kwamba kuna mauti hasa mkiwa ndani ya ma VX ya walipa kodi huku mkitutimulia vumbi barabarani nanyi mkiwa kwenye full viyoyozi. Mnatoaga maamuzi bila kujali kama yataathiri maisha ya mtu wa kipato cha chini. Hivi wewe Makamba kweli huu ni mwaka wako wa ngapi kama mbunge hadi waziri umeshindwa kabisa kutatua tatizo la kiwanda cha chai cha MPONDE NA TATIZO LA PLASTIK BAGS. ???
 
Makamba wewe ni mjanja najua fika kwamba umo humu jf kama Mwigulu na Kingwangwala.
 
Back
Top Bottom