kanabyule
JF-Expert Member
- Dec 5, 2016
- 386
- 500
Kama mada ilivyo hapo juu, nawaomba Wana Jamii Forum wanaomfahamu Mchungaji Charles Gadi na anapofanyia Ibada yake au yeye mwenyewe anifahamishe.
Niliwahi kupata fununu kuwa yupo maeneo ya Bagamoyo bila kuwepo ufafanuzi kamili.
NAWASILISHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kupata fununu kuwa yupo maeneo ya Bagamoyo bila kuwepo ufafanuzi kamili.
NAWASILISHA.
Sent using Jamii Forums mobile app