Ajali: Basi la 'Kiazi Kitamu' limepinduka Monduli, Arusha

Ajali: Basi la 'Kiazi Kitamu' limepinduka Monduli, Arusha

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,602
Reaction score
22,707
Basi liitwalo Kiazi Kitamu limepinduka eneo la Monduli, Arusha leo asubuhi.

Hakuna vifo au majeruhi walioripotiwa.

DE6uj0CXcAAR2Dg.jpg
 
Daah mzimu wa ajali umeanza kutuandama tena.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ajali hii imechukua maisha ya jamaa yetu mmoja anayeitwa Amin Mero.

Tunamzika leo huku kwao Mkoa wa kilimanjaro, wilaya ya Moshi vijijini, kijijini MDAWI.

Ni yeye tu aliyefariki kwenye hii ajali.

Lala Salama Mero.
 
Wangapi walipoteza maisha kwenye ajali hiyo?
 
afadhali hakuna aliyefariki ilo jina la gari [emoji3]
 
Basi liitwalo Kiazi Kitamu limepinduka eneo la Monduli, Arusha leo asubuhi.

Hakuna vifo au majeruhi walioripotiwa.

Amin Mero amefariki katika ajali tajwa, RIP Mero, vipi bus lilikuwa linatoka wapi na kwenda wapi mleta uzi
 
YANAKIMBIA................ MENGINE YANAENDA KIGOMA ,.............
 
Back
Top Bottom