Ukitaka kutoboa kimaisha lazima uachanena na Wanawake kwanza?

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
331
1,000
Nawasalimu wote kila mmoja kwa imani yake, itikadi ya chama chake na kigezo cha umri wake! Itifaki imezingatiwa.

Humu JF kuna watu wa makundi tofautitofauti. Kuna sisi vijana wa below 25 na kuna wale watu wa above 25. Naomba maoni yenu lakini hasa ya wale wenye umri kubwa kwa sababu wameishi maisha ambayo na sisi tutaelekea kuyaishi.

Kila mara nasikia watu wakisema "Ukitaka kufanikiwa katika maisha huna budi kuweka kando mapenzi" (If you real want to succeed in life, never fall in love). Kuna ukweli kiasi gani kwenye hili jambo?

Nauliza hivo kwa sababu nimeanza kupambana na biashara from the scratch, from zero kabisa. Tatizo nina wasichana kadhaa ambao ninashirikiana nao kimapenzi na nina wasiwasi huenda wakarudisha nyuma juhudi zangu.

Wazee wenzangu mlioenda age kidogo katika harakati zenu za kusaka maisha mliweka kando malavidavi?

Share your experiences now!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,588
2,000
kwa experience yangu kama kaka mkubwa wako na walionizunguka naona ni true..

wanawake ni too demanding... na wana argument nyingi.. ambazo zinaweza sumbua akili yako upunguze ufanisi wa akili kwenye hustle zako..

mwanamke anahitaji, muda wako, pesa zako, akili yako, na kila kitu.. huku hustle nazo zinahitaji muda wako, pesa zako na akili yako pia...

so lazima uchague kimoja wapo kati ya ke na hustle cha kukipa muda na pesa zaidi. maana mtaka yote hukosa yote
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,163

well said bro!!! Naunga mkono hoja.
 
Mother Confessor

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
17,404
2,000
Chagua moja unaloliona ni muhimu..watu tunatofautiana vipaumbele,kila mtu ana kitu anachokiona kwake muhimu kuliko kingine,.wapo wanaoona kazi ndio kipaumbele,wengine mapenzi,wengine ushirikina,wengine kula,kuvaa,kula bata n.k

Kwahiyo ni jinsi wewe uonavyo "unataka nini kwenye maisha yako" kila kitu kina umuhimu wake kibinadamu lakini tunaangalia kitu chenye umuhimu zaidi,.ni kama kula na kuvaa vyote ni muhimu huwezi kutembea uchi na huwezi kuishi bila kula..lakini ukiwa na nguo mbili zitakusitiri hata mwaka mzima lakini je chakula cha siku moja kitakufanya "usavaiv" kwa mwaka mzima???

kwa umri wako nadhani jambo la muhimu ni kuitengeneza kesho yako kwanza,wanawake tupo tena kila siku wanazaliwa wazuri zaidi na zaidi,.fanya kazi kwa bidii weka misingi imara,jiwekeze ukomae,.baada ya hapo utachagua sasa mtu ambaye unaona ni sahihi hatokurudisha nyuma kimaendeleo,.uzuri wa mapenzi hayana expire date yapo tuu,.
muhimu zaidi,ufanye sana ibada kwa imani yako na kumuweka Mungu mbele.
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
9,277
2,000
kwa experience yangu kama kaka mkubwa wako na walionizunguka naona ni true..

wanawake ni too demanding... na wana argument nyingi.. ambazo zinaweza sumbua akili yako upunguze ufanisi wa akili kwenye hustle zako..

mwanamke anahitaji, muda wako, pesa zako, akili yako, na kila kitu.. huku hustle nazo zinahitaji muda wako, pesa zako na akili yako pia...

so lazima uchague kimoja wapo kati ya ke na hustle cha kukipa muda na pesa zaidi. maana mtaka yote hukosa yote
Hili nalo ni jibu sahihi.
 
tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,794
2,000
Kuchomoza akili yako na na namna ulivyojipanga kutekeleza maazimio yako na malengo yako.Mapenzi Ni Jambo la ziada tu wala haliwezi kukuharibia mipango yako Kama uko imara na ratiba yako.
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,588
2,000
Nikweli ila tatizo ni pale kati...ukipakosa kwa muda mrefu unaweza kuacha duka wazi kupafata hata kwa umbali wa miles zote .. hasara kotekote

Sent using Jamii Forums mobile app

tuache kujiendekeza.. kuna watu wakenya, wa zambia wanapigiza kazi nchi za ki arab zenye sheria za ki islam kama saudi, qatar, etc miaka kibao... mtu mwaka mzima haioni mbunye.. ana make tu.. akija likizo kenya ndipo anakula mizigo...

ukiendekeza kichwa cha chini unakufa maskini... kama ukiona hisia nyingi si unapiga hata punyeto... umaskini ni hatari kuliko chochote zama hizi za kibepari
 
vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
3,866

Sawa nani Bora kwakua huko hazipo, huku zipo na ni ela yako tu...umeona utofauti ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,238
2,000
Chagua moja unaloliona ni muhimu..watu tunatofautiana vipaumbele,kila mtu ana kitu anachokiona kwake muhimu kuliko kingine,.wapo wanaoona kazi ndio kipaumbele,wengine mapenzi,wengine ushirikina,wengine kula,kuvaa,kula bata n.k

Kwahiyo ni jinsi wewe uonavyo "unataka nini kwenye maisha yako" kila kitu kina umuhimu wake kibinadamu lakini tunaangalia kitu chenye umuhimu zaidi,.ni kama kula na kuvaa vyote ni muhimu huwezi kutembea uchi na huwezi kuishi bila kula..lakini ukiwa na nguo mbili zitakusitiri hata mwaka mzima lakini je chakula cha siku moja kitakufanya "usavaiv" kwa mwaka mzima???

kwa umri wako nadhani jambo la muhimu ni kuitengeneza kesho yako kwanza,wanawake tupo tena kila siku wanazaliwa wazuri zaidi na zaidi,.fanya kazi kwa bidii weka misingi imara,jiwekeze ukomae,.baada ya hapo utachagua sasa mtu ambaye unaona ni sahihi hatokurudisha nyuma kimaendeleo,.uzuri wa mapenzi hayana expire date yapo tuu,.
muhimu zaidi,ufanye sana ibada kwa imani yako na kumuweka Mungu mbele.
Kuna mtu mapenzi ni kipaumbele chake?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom