Mimi ni mwajiriwa serikalini,kipindi TAMISEMI hawajasitisha uhamisho,nilipata mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi yeye ahamie katika halmashauri yangu nami niende halmashaurini...
UPANDE wa utetezi katika kesi ya mauaji inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni, Pius Luhende (54) na wenzake, umeomba kuharakishwa upepelezi wa shauri hilo...
Naomba msaada kufahimishwa nahitaji nione ligi ya drc natakiwa niwe na kisambuzi gani wandugu, najua watakuja waelewa Sana na kunitoa akili lkn mjinga hakosei
Sent using Jamii Forums mobile app
KATIKA kuuaga mwili wa Ruge. Naona watu fulani wanajifanya hamnazo wanataka waende wakiwa wamevaa sare za chama kuonesha marehemu alikuwa kada wa chama chao jambo ambalo ni uongo. Ruge alikuwa ni...
Habari wakuu?
naomba kuuliza,Bus la mwisho kuondoka ubungo dar kuelekea arusha huwa linaondoka saa ngapi na bus la kampuni gani?
Nimeuliza hivyo cos kuna mtu nataka kumsafirisha kesho,ila...
Wadau;
Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini vyoo vya umma hutenganishwa vya wanaume na wanawake? Kwanini iwe hivyo? Mbona majumbani tuna-share toilets na hamna tatizo? Hii kitu ilikuwepo tangu...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe ameigiza Baraza la sanaa nchini (BASATA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanamkamata na kumtia hatiani msanii...
Katika hali isiyokuwa inatarajiwa ushuru wa soko umerejeshwa bila kujali kiwango cha mazao/mizingo inayoletwa masokoni.
Kutokana na tamko la Rais kuwa wakulima ambao wataingiza sokoni mazao yao...
Ni ujinga ulioje kumlaumu Ruge(Clouds Media Group) kwani ni dhahiri kuwa kamwe cha kuazima hakistiri makalio ! Ni jambo lililo wazi kabisa kwamba kiu ya wasanii wengi hususan wachanga ni kusikika...
We mwanadamu jaribu kujiuliza
Ungekuwa Mungu ni nani ungemsiikiza?
Polisi wa doria au kibaka ndani ya giza?
Je ni nani angepokea miujiza?
Mlevi wa gongo au mama anayeuza?
Yote tisa ungemponya...
Vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuwa Waziri wa.uchukuzi wa nchini Misri. Ishar Afra, amejiuzulu uwaziri wake baada ya kutokea ajali ya treni iliyoua wananchi 24 hapo jana
Katika sababu...
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha ,dkt Maulid Madeni amemtimua mkuu wa Soko kuu la Arusha,Yusuf Ngenya kwa kushindwa kufikia malengo ya makusanya ya ushuru na kodi katika Soko hilo.
Aidha Dkt Madeni...
Hatati
======
Askari wa Zima Moto wakiendelea na kazi ya
Askari wa Zima Moto wakiendelea na kazi ya kuzima moto uliokuwa ukiwaka kwenye ghala la Kiwanda cha viatu Bora, jijini Dar es Salaam...
Habari wana Jamii.
Kuna mtoto wakiume hapa mtaani ana umri Wa miaka 10. Ana hali ya Ushoga, nilianza kumuona miaka mitano 5. Michezo yake yote anakuwa na Watoto Kike.
Sasa hivi ameanzwa kutengwa...
Nina uhakika ameshawakariri na hawezi kuwaacheni hivi hivi na lazima kuna ' Dozi ' yenu atawapeni kwani Mwenzenu hakudhani kama ' aliyeondoka ' anakubalika hivi na atasifiwa hivi japo hana Mamlaka...
Wana JF, nilishangaa sana siku nilipoenda nchi fulani jirani nilipotaka kubadilisha fedha, nilibadilishiwa kwa kiwango kile kile bila kujali nilikuwa nabadili noti za $1, $5, $10, $20, $50 au...
Kuna mahala najiandaa Kwenda sasa Msibani ila nitapenda pia nikiwa huko niweze Kuwajua Wanafiki kwa Marehemu na wale Wenzangu ambao kweli tumeguswa na tunamlilia Marehemu kutoka katika Mioyo yetu...
WATUHUMIWA wanne akiwamo mtoto David Kasila (15), wanatarajiwa kufikishwa mahakamani Machi 4, mwaka huu kwa tuhuma za mauaji ya watoto mkoani Njombe.
Kasila alifikishwa kwa mara ya kwanza...
Wakuu kwema?
Kwa kufupi tu,mm na wenzangu takribani 400,mwaka jana mwenzi wa nane tulibahatika kuhitimu masomo yetu ya shahada ya kwanza ktk ualimu tukijikita zaidi kwenye ualimu wa masomo ya...
Uwezo wa mwanamke huyu mjuzi wa mpira na danadana za miguu na kichwa, umeushangaza ulimwengu baada ya clip hii kusambaa mtandaoni wiki hii. Uwezo wake si wa kawaida, anavyouchezea mpira, utadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.