Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo ni maadhimisho ya siku ya kimataifa ya viumbe hai wa porini na majini ambayo huadhimishwa kila mwaka mnamo Machi 3 ili kueneza uelewa wa mimea na wanyama mwituni Mwaka huu, siku hii imefanywa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF Naleta mbele yenu suala hili naamini linaweza kufika panapohusika na likafanyiwa kazi mara moja, kumekuwa na unyanyasaji mkubwa sana wa wananchi wamiliki/madereva wa magari Arusha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Einstein alikuwa kwenye kundi la watu ambao imani yao huitwa Pantheism kwa Kiingereza. Ni watu wanaoamini kwamba "Mungu ni kila kitu". Mara kadha, alionyesha mtazamo huu kwenye mawasiliano yake na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameonya kuwa hatamvumilia kiongozi yeyote wa Mkoa, Wilaya ama Halmashauri ya Wilaya, Mji, Manispaa na Jiji atakayebainika kuhusika...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Huwezi kulala mtupu usiku kucha hata kama upo na familia au laa. Usiku linaweza kutokea lolote mfano nyumba kuungua, kuvamiwa na majambazi , majirani kupata shida ya haraka, mtoto / watoto kuumwa...
33 Reactions
179 Replies
32K Views
Wanabodi, Nawaombeni sana tuwe more realistic kwa kuwa wakweli ndani ya nafsi zetu kunapofanyika jambo zuli tutoe pongezi na wanapo chemsha tuwape kichapo. Mimi ni miongoni wa wasikilizaji wa...
6 Reactions
93 Replies
10K Views
Hivi mbunge kama huyu maarufu, huo mkoti aliovaa kaazima? (hii ni sasa hivi (live) kutoka bungeni. Dah, inapaswa ofisi za bunge sasa waweke askari wa mavazi pale mlangoni, anaevaa kijinga jinga...
4 Reactions
278 Replies
41K Views
Tukirejelea maana za maneno hayo; Assets:- an item of property owned by a person or company, regarded as having value and available to meet debts, commitments, or legacies. Liability:- a thing...
2 Reactions
75 Replies
12K Views
Wakuu poleni na kazi. Naombeni ushauri kuhusu MCHAKATO,GHARAMA & UHAKIKA wa aidha kuagiza gari ndogo nje ya nchi (Japan) na kununulia kwenye show room hapa nchini Tanzania.Hasa gharama, mchakato...
3 Reactions
36 Replies
15K Views
Hata kama ikitokea huyu Mwizi wangu nikampata / nikamkata wala sitomfanya lolote / chochote bali nitamshika tu mkono na kumpeleka Shule au Chuo akasome kwani kwa jinsi alivyoniibia Redio yangu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
wapendwa ktk jina la bwana, namtafuta ndugu yangu tulikutana nae humu humu jf, simu yangu ikazingua, nkapotezana nae, anaitwa 1st may,, pls popote pale ulipo mwenzio nakutafuta, !!
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakili maarufu Maro Advocaat amekuwa anatumia umaarufu wake kutapeli wajane,Maro alishiriki kutapeli nyumba ya marehemu Yese aliyekuwa mchimbaji maarufu wa madini ya Tanzanite,nyumba hiyo...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Rais Magufuli atoa ndege kusafirisha mwili wa Ruge. Msemaji wa familia ya Mutahaba amesema Rais Magufuli ametoa ndege hiyo kwa ajili ya kusafirisha mwili wa Ruge kutoka Dar es Salaam kwenda...
16 Reactions
205 Replies
29K Views
Wakuu, Nchi yetu inahitaji kupata watalii wa kutosha kwa ajili ya kuinua uchumi wetu ambapo tunahitaji forex sana hasa kipindi hiki ambapo shilling yetu inayumba. Kuna wageni wameandika kwenye...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Kuna huu utamaduni uliojengeka wa wahusika kutoshughulika na ukarabati wowote hasa wa barabara hadi viongozi wa kitaifa wanapofanya ziara. Nimekuwa katika maeneo tofauti siku za karibuni ambako...
1 Reactions
3 Replies
922 Views
Heri ya mwaka wa 2019 wanabodi Naomba Uzi huu tuujadili kwa kuzingatia kuwa mnasaidia MTU ni muhimu sana . Jini mahaba linanisumbua sana, limesumbua ndoa yangu mpaka kutengana , limeharibu maisha...
2 Reactions
87 Replies
18K Views
Habari zenu wakuu, bila kupoteza muda niende kwenye mada kuna ile dhana ya kuwa marehemu hasemwi vibaya, ila kusemwa vibaya huko hakujafafanuliwa ni kivipi?, kama ni kupakaziwa basi ni sawa ila...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kifusi kwenye mgodi wa dhahabu wa Burumbaka uliopo katika Kijiji cha Gasuma huko Bariadi > Juhudi za kutafuta miili ya watu wengine bado zinaendelea
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Sabato njema wakuu Kwa msingi wa Biblia imeandokwa siku za mwisho zitakua za hatari. Watu watakua wenye kujipenda wenyewe na kupenda pesa kuliko kumpenda Mungu. Angalizo hili ni kama linasadifu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Juma lililopita Wakazi wa jimbo la Kigoma mjini walituma ujumbe Kwenda kwa waziri wa Elimu Prof Ndalichako wakimtaka aje kugombea Ubunge Kigoma Mjini. Hii imewahi kutokea kwa watu wawili tuu...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom