Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kigoma. Wakazi wa mkoa wa Kigoma wametajwa kuongoza kwa uchafuzi wa fedha hususan noti kuliko mikoa yote nchini, wakifuatiwa na Kagera. Kauli hiyo imetolewa leo na meneja msaidizi wa uhusiano wa...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Wakuu kwa mda wa masaa matatu sasa foleni ya kimara kwenda mbezi haiendi.. Jam hii si ya kawaida na inaonekana hata wenzetu wanausalama hawasaidii... Toka saa mbili mpaka mda huu saa tano hakuna...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kiukweli inanishangaza sana ni kwa kivipi Hawa watoto na wadogo zetu wanafeli mitihani yao ya kidato Cha nne, Kwa wale walioenda shule haswa watakubaliana na mimi kidato Cha kwanza mpaka Cha nne...
11 Reactions
204 Replies
19K Views
Katika kile ambacho kinazungumziwa na "Wanasheria" sasa wazungu kuletwa Kulinda mali na wafanyakazi(wazungu) wa Accacia Kwa udadisi mfupi niliyofanya baada ya Accacia kutoa matamshi haya, "We...
3 Reactions
84 Replies
8K Views
Habari ndugu! Ni kweli sote tunapenda maendeleo, tunapenda njia ya mkato, lakini ukweli ni kwamba hakuna jambo linalotokea Kwa bahati mbaya! Maswali yafuatayo nimekusogezea wewe mchezaji ili...
21 Reactions
51 Replies
44K Views
Kuna Mtu mmoja aliwahi kuniambia kuwa hapa duniani epuka sana kusemasema baadhi ya maneno bila kuyapima au kuyachuja kwani maneno mengine huwa ni Nuksi / Mkosi pasipo Mhusika kujua na baadae huja...
6 Reactions
27 Replies
5K Views
Ni vipi duka moja linadaiwa kodi moja mara mbili! Kodi hiyo ni ile ya jengo ambalo mwenye duka amepanga ikiitwa WITHHOLDING TAX. Kodi hii kwanza haistahili kulipa na mpangaji kwani haitawezekana...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Hello wana jukwaa mpo wazima ni Imani yangu "Japo tunaendelea kulima mpunga kwenye lami" huu mwezi wa tatu tangu tumeuaga mwaka 2018 lakini nieona ni vyema tukumbushane mambo yaliyotushangaza...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Binadamu / mtoto akizaliwa lazima alie - kinachomliza huwa ni nini? Kuna post kikirishi ... ukizisoma na ukatulia .. zinaonesha wazi kwamba roho ziko nyingi ila hazina makao ya kimwili. Roho...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini, Mi ni msikilizaji wa Clouds Redio kwa baadhi ya vipindi kikiwemo kipindi cha JAHAZI kinachoanza jioni majira ya saa kumi mpaka moja jioni. Katika kipindi hiki E. Kibonde ni mmoja wa...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Huyu Kibonde anadai Rais ni kama ameingilia mhimili mwingine ( Bunge) kwa kumfukuza Charles Kitwanga. Anahoji... je, kuna barua au maandishi toka mamlaka ya bunge kwenda kwa Rais ikalamika kuhusu...
8 Reactions
71 Replies
9K Views
Utabiri wa hali ya hewa siku ya leo inaonesha kiwango cha joto Dar es Salaam kiko chini kuliko maeneo mengi nchini 24°C, je, hii iko sahihi? Chanzo Channel Ten TV.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo March 7, 2019 Kijana Daniel Jackson aliyefariki December 2018 amedaiwa kufufuliwa na mtaalamu wa tiba za jadi huku ikielezwa kwamba alichukuliwa ‘msukule’ ambapo Mama yake mzazi amesema...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
hivi huyu kibonde anaishi dunia ipi, nimetamani kuizima radio yangu kutokana na maneno yake ya kipuuzi. Anadai eti kugoma kwao madaktari ni utovu wa nidhamu kwa waziri mkuu mpaka wenzake akina...
0 Reactions
254 Replies
32K Views
JPM ameshinda walau kwa sasa Na Ahmed Rajab “LINI?” Ni swali nililojiuliza, mara kwa mara, tangu Januari 8 mwaka jana kila nilipomsikia Edward Lowassa akitajwa. Januari 8, 2018, ndiyo siku...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello bosses ukiambiwa ua ukiombwa umshauri kijana wa miaka 21-29 utamshauri nini??, kuhusu secta yoyote kiuchumi, kijamii, kimasha, etc tu assume amemalizaa chuo
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Madereva wengi wa magari ya mizigo wamekuwa na tabia ya kuweka free malori wakati wakiwa kwenye miteremko ili kuokoa mafuta, mafuta ambayo baadaye huyanyonya kwenye vidumu na kwenda kuyauza (kama...
39 Reactions
98 Replies
19K Views
Nasikiliza Clouds FM hapa kipindi cha jahazi, Kibonde anajaribu kusafisha mto ulochafuka. Lakini mtazamo wangu ni kwamba anajaribu kutia sukari baharini, huku akimponda mtumishi wa mungu Baba...
3 Reactions
247 Replies
37K Views
Kwamba ipo siku utakufa. Sote tutakufa. _____ Amani iwe kwenu. Huu ndiyo ukweli usiopingika, uwe mwenye imani kuwa Mwenyezi Mungu yupo au la, siku itafika utakufa. Ule vizuri, ufanye mazoezi...
1 Reactions
7 Replies
874 Views
Kila mtu kwa nafasi yake anamapungufu yake, ni busara kila mtu kujitathimini na kujua ni mapungufu yapi yanamrudisha nyuma katika nyaja tofautitofauti za kujiletea maendeleo, kwa kufanya hivyo...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…