Foleni Kimara - Mbezi usiku ni ya kutisha

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
9,147
2,000
Wakuu kwa mda wa masaa matatu sasa foleni ya kimara kwenda mbezi haiendi.. Jam hii si ya kawaida na inaonekana hata wenzetu wanausalama hawasaidii... Toka saa mbili mpaka mda huu saa tano hakuna ufumbuzi. Kama unapita njia hii nakushauri tafuta njia mbadala..ni mateso hasa.
 
denis fourplux

JF-Expert Member
Aug 17, 2017
939
1,000
V
Wakuu kwa mda wa masaa matatu sasa foleni ya kimara kwenda mbezi haiendi.. Jam hii si ya kawaida na inaonekana hata wenzetu wanausalama hawasaidii... Toka saa mbili mpaka mda huu saa tano hakuna ufumbuzi. Kama unapita njia hii nakushauri tafuta njia mbadala..ni mateso hasa.
Vumilia
 
Papi Chulo

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
5,956
2,000
Write your reply...
huko nilisha acha kupita,kuna siku nilipotea njia nikapita huko dah
 
Fuqin

JF-Expert Member
Dec 2, 2018
200
500
Wakuu kwa mda wa masaa matatu sasa foleni ya kimara kwenda mbezi haiendi.. Jam hii si ya kawaida na inaonekana hata wenzetu wanausalama hawasaidii... Toka saa mbili mpaka mda huu saa tano hakuna ufumbuzi. Kama unapita njia hii nakushauri tafuta njia mbadala..ni mateso hasa.
Sisi tunaotoka magomeni kwenda kariakoo tukomenti wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
9,147
2,000
Kama umepanda daladala shuka utembee, kama una gari binafsi isome namba na kama una vijimafuta utalia leo
Daladala zimeshashusha abiria ziko tupu zinatafuta upenyo zigeuke..abiri wa kutembea wanatembea..wa bodaboda haya....na ubaya hata vituo vya mafuta upane

Kama umepanda daladala shuka utembee, kama una gari binafsi isome namba na kama una vijimafuta utalia leo
Na vituo vya mafuta pande hizi vilishafungwa kupisha upanuzi wa road...daladala hazina watu washashuka wameafuta namna nyingine....
 
bmpingo

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
342
250
Wakuu kwa mda wa masaa matatu sasa foleni ya kimara kwenda mbezi haiendi.. Jam hii si ya kawaida na inaonekana hata wenzetu wanausalama hawasaidii... Toka saa mbili mpaka mda huu saa tano hakuna ufumbuzi. Kama unapita njia hii nakushauri tafuta njia mbadala..ni mateso hasa.
A bit more than two year ago I was in Tz na siku hiyo nilikuwa naenda Kibamba. Kulikuwa na foleni tangu Kimara. Baadae tukaambiwa kulikuwa na accident na basi liliungua moto. Jamaa walifanya U turn at Mbezi na mie nikafika Kibamba saa sita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mc gregor

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
1,095
2,000
mnasema vyuma vimekaza pesa za kununua magar mmepata wapi?

Wewe utakuwa kapuku sana. Kwa io wewe pesa ya kununua gari unaona ni kubwa??
Mtu alikuwa anaingiza 100m now anaingiza 30m vyuma vimemkazia ila unadhani atatembea kwa miguu??
Tafuta pesa dogo maandishi yako yanaonesha kabisa unaskini umekutawala

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dindira

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
2,925
2,000
Hii foleni bado ipo mpaka saa hii? Niko Sinza nataka kurudi Kibamba
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom