Swali kuhusu kupata hati ya kusafiria

Kim McDamon

Member
Feb 23, 2019
46
9
Habarini wana jukwaa
Nilikuwa na swali
Nilipeleka nyaraka muhimu pale NIDA Ili niweze kupata kitambulisho na nipeleke uhamiaji kwa kupata hati ya kusafiria
Lakini naona nachelewa Sana kupata hicho kitambulisho
Je naweza omba namba yangu ya kitambulisho nipeleke uhamiaji ? Ili ningoje vyote kwa ujumla au uhamiaji hawataki mpk upeleke kitambulisho chenyewe?
Msaada kwa anaejuwa
Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom