Na kweli, mikosi mitupu!
Mh, ni wa hapa hapa!
Ilaanie CCM. Yaani kumekauka utadghani siyo msimu wa mvua! Mji mzima ni waganga!CCM wamezuia mvua isinyeshe..
pale pahali pako na laanaNchi nzima inanyesha mvua, huku jua limekaza kama kiangazi. Kuna nini? Zanzibar inanyesha, Dar inanyesha, Moro inanyesha, Arusha/Moshi inanyesha.
Tanga wadigo mmefanyaje?
vipi billionea wenzangu, kuwa na weekend jemaCCM wamezuia mvua isinyeshe..
Shukrani sana mkuuvipi billionea wenzangu, kuwa na weekend jema
He he he heIlaanie CCM. Yaani kumekauka utadghani siyo msimu wa mvua! Mji mzima ni waganga!