KERO TRA ARUSHA

KERO TRA ARUSHA

Malemis

New Member
Joined
Dec 18, 2018
Posts
3
Reaction score
5
Unapewa namba kumuona afisa unasubiri kuanzia asubuhi had I jioni, na unaweza husionane Naye, badala ya kufanya shughuli za kujenga Taifa tunashinda tumekaa kwenye foleni.
 
Siku hizi kuna tabia hapa JF vijana wanasema.

"Ngoja waje wajuzi wa mambo."
 
Back
Top Bottom