AZAM TV TUNAOMBA MECHI ZA TIM KUBWA MUWE MNAONYESHA KWENYE AZAM SPORT HD:

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
5,211
4,171
Niombi langu kwa Azam tv kwamba sisi wateja wenu tunaomba mechi za ligi zitakazo husisha Azam fc. Simba fc na Yanga fc ziwe zinaonyeshwa kwenye chanel ya " Azam Sport HD" Kulingana na hadhi ya vilabu husika.

Pia itatupa ladha hata sisi wenye tv za kisasa kuona picha ngavu na bora zaidi. Naomba kuwasilisha.
 
Changamoto itakua kwenye vifurushi na ratiba ya la liga kugongana naya EPL, labda wangeongeza channel ya HD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thisdayes. Naungana nawewe kwamba waongeze chanel ya HD. Unajua station ya HD Picha yake kwenye tv ya 4K SMART TV Ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom