Napingana na dhana ya wanawake 50/50

Napingana na dhana ya wanawake 50/50

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,033
Hii itaendelea kuwa dhana milele
1.ni wanawake wachache sana watadumu na ndoa zako km wakipa fursa ya 40+,italeta inferiority to men na vurugu uanzia hapo
2.mwanamke ni pambo la nyumba hatakiwi kufanya kazi ,ukirudi lazima umkute mwanamke nyumbani.,mwanamke ameletwa duniani kuzaa watoto sio kufanya kazi.
3.haiwezekani nyumba ikawa na viongozi wawili wanaofanana uwezo haiwezekani.
4.mwanamke ni mlezi wa familia hatakiwi kujitwishwa mizigo ambayo si ya kwake.

Mwenyezi Mungu alijua mapema mwanamke anatakiwa kuongozwa na sio kuongoza.
Nature ya wanawake mama zetu,uwa wakifanikiwa lazima akupande kichwani+ na inferiority ya wanaume ndoa haiwezi dumu.

God blec the women.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapeni break basi kwa leo tuu,kwanini wanaume tunaihofia 50/50 !?
 
Popote ukikuta mwanamke ni mtu wa harakati au yeye ndo yeye jua huyo hata ktk familia ni shida.chunguza wanawake wote wapambanaji halafu uliza mahusiano yao yapoje,utakuta asilimia kubwa ni matatizo.
 
Imeandikwa kwenye kitabu cha (Mwanzo 'Genesis' chapter 2:18) Kuwa Mungu atampa Adamu 'msaidizi' wake,
(Genesis chapter 3:16-19) Imeandika kuwa mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu,
Hii 50% 50% imetoka wapi? Mwanaume ni kichwa cha familia na mwanamke ni msaidizi na hizo 50% 50% zinatoka wapi?
Walipoanzisha hili suala la haki sawa kijinsia haimaanishi wanawapenda sana wanawake, hii ni agenda ya shetani,
Kueni makini, haiwezekani mwanaume na mwanamke wakafanana kivyovyote hata siku moja, na haito kaa kuja kutokea milele,
 
Back
Top Bottom