Madai ya Tanesco kwa idara ya maji yawanyima maji wananchi wa Ukerewe

mfungwa

JF-Expert Member
May 23, 2015
1,291
341
Takribani sasa miezi 4 hakuna maji ya ya bomba kwa wakaazi wa kata za Mukituntu na Igalla.

Mradi huo uliokuja kufunguliwa na Waziri mkuu akiambatana na Waziri wa maji na msafara wote hadi mkuu wa mkoa wa Mwanza.

Hatimae leo imekuwa history ya kukosa maji kwa miezi minne, kisa madai ya Tanesco kwa Idara hiyo.

Waziri wa Maji anatangaza siku ya maji mwezi huu katikati wakati haya yanaaibisha kabisa wizara husika.
P_20190311_154544.jpeg
P_20190311_154456.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom