Maajabu: Kumbe ni lazima kununua vitambulisho vya machinga

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
1,789
2,000
Wasalaam,

Jana nilikwenda maeneo ya mbezi kumsalimia ndugu yangu ambae ni mkaanga chips.

Nilikuta hajafungua biashara na kwamba aliitumia cku ya Jana kwenda kupanga foleni ili kununua kitambulisho cha machinga, kwani wametangaziwa ya kwamba mwisho kununua kitambulisho hicho ni 01/march na baada ya hapo utaendeshwa msako mkali kukamata ambao watashindwa kuvinunua na watalazimika kuvinunua pamoja na faini.

Ndipo nikajua kuwa ni lazima kwa wachuuzi kununua vitambulisho hivi.

Wito wangu kwa wachuuzi ni vema mkanunue vitambulisho hv msije mkanunua na faini au kupigwa km mbwakoko.
 
thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
7,121
2,000
Wasalaam, Jana nilikwenda maeneo ya mbezi kumsalimia ndugu yangu ambae ni mkaanga chips. Nilikuta hajafungua biashara na kwamba aliitumia cku ya Jana kwenda kupanga foleni ili kununua kitambulisho cha machinga, kwani wametangaziwa ya kwamba mwisho kununua kitambulisho hicho ni 01/march na baada ya hapo utaendeshwa msako mkali kukamata ambao watashindwa kuvinunua na watalazimika kuvinunua pamoja na faini. Ndipo nikajua kuwa ni lazima kwa wachuuzi kununua vitambulisho hivi.

Wito wangu kwa wachuuzi ni vema mkanunue vitambulisho hv msije mkanunua na faini au kupigwa km mbwakoko.
Lipa kodi kwa maendeleo ya taifa ,unalialia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
6,287
2,000
Wasalaam, Jana nilikwenda maeneo ya mbezi kumsalimia ndugu yangu ambae ni mkaanga chips. Nilikuta hajafungua biashara na kwamba aliitumia cku ya Jana kwenda kupanga foleni ili kununua kitambulisho cha machinga, kwani wametangaziwa ya kwamba mwisho kununua kitambulisho hicho ni 01/march na baada ya hapo utaendeshwa msako mkali kukamata ambao watashindwa kuvinunua na watalazimika kuvinunua pamoja na faini. Ndipo nikajua kuwa ni lazima kwa wachuuzi kununua vitambulisho hivi.

Wito wangu kwa wachuuzi ni vema mkanunue vitambulisho hv msije mkanunua na faini au kupigwa km mbwakoko.
Hata wewe unayetembea na kukanyaga lami kila wakati unatakiwa kukinunua vinginevyo utashtakiwa kwa uzurulaji!
 
The Transporter

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,864
2,000
Sioni shida kama unafanya biashara na unapata faida kununua iwe issue ila watanzania huwa tunapenda kupelekeshwa ikiwa kitambulisho cha NIDA tu ambacho ni bure ila mpk tukapelekeshwa ndio tukafatilia
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
5,992
2,000
Wasalaam, Jana nilikwenda maeneo ya mbezi kumsalimia ndugu yangu ambae ni mkaanga chips. Nilikuta hajafungua biashara na kwamba aliitumia cku ya Jana kwenda kupanga foleni ili kununua kitambulisho cha machinga, kwani wametangaziwa ya kwamba mwisho kununua kitambulisho hicho ni 01/march na baada ya hapo utaendeshwa msako mkali kukamata ambao watashindwa kuvinunua na watalazimika kuvinunua pamoja na faini. Ndipo nikajua kuwa ni lazima kwa wachuuzi kununua vitambulisho hivi.

Wito wangu kwa wachuuzi ni vema mkanunue vitambulisho hv msije mkanunua na faini au kupigwa km mbwakoko.
Sasa cha kushangaza nini hapo...kama mtu umeamua kufanya biashara fanya kihalali na by this utaiongezea heshima kazi yako na utaithamini sana..huku serikali ikikutambua...huwez jua hapo baadae serikali ina mkakati gani wa kuwaongezea uwezo watu hao...penda nchi yako kamanda usilete hisia ambazo hazina kichwa wala miguu
 
KWADWO ABIMBOLA

JF-Expert Member
Jan 8, 2019
763
1,000

Hii serikali imezoea kuvunja sheria. Wito wangu kwa wananchi wa Dar, watumie mbinu za kibongo kupata vitambulisho hata kama ni feki, alimradi uwe nacho. Muwe pia mnafaulisha hivi vitambulisho. Msako ukiwa mahali na wewe unacho, basi mpatie huyu asiyenacho kwa muda huo aue hilo soo la msako. Msako ukimalizika chukua kitambulisho chako usepe zako.
 
Al Zagawi

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
2,151
2,000
Sasa cha kushangaza nini hapo...kama mtu umeamua kufanya biashara fanya kihalali na by this utaiongezea heshima kazi yako na utaithamini sana..huku serikali ikikutambua...huwez jua hapo baadae serikali ina mkakati gani wa kuwaongezea uwezo watu hao...penda nchi yako kamanda usilete hisia ambazo hazina kichwa wala miguu
Kitambulisho kisicho na personal information zozote ni white collar utapeli....

Besides....hatunaga continuity kuzungumzia long term plans related to the vitambulishos, akija mwingine atakuja na sanaa zake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,796
2,000
Sasa cha kushangaza nini hapo...kama mtu umeamua kufanya biashara fanya kihalali na by this utaiongezea heshima kazi yako na utaithamini sana..huku serikali ikikutambua...huwez jua hapo baadae serikali ina mkakati gani wa kuwaongezea uwezo watu hao...penda nchi yako kamanda usilete hisia ambazo hazina kichwa wala miguu
Kupenda nchi ndo kuuziwa kuponi? Hata business card inanafuu kuliko huo ujinga mnauuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom