Tanzania yaongoza kuwa na Simba wengi Afrika

mamayoyo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,011
Reaction score
1,019
1552285829554.png

  • AFRICAN Wildlife Foundation imesema Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na Simba wengi na kwa upande wa Tembo inashika nafasi ya tatu barani Afrika.
  • Imesema hiyo inatoka na juhudi ambazo zinafanywa na Serikali ya Tanzania kuhakikisha wanyamapori na uhifadhi wa misitu unapewa kipaumbele.
  • Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Ofisa Mtendaji Mkuu wa African Wildlife Foundation Kaddu Sebunya wakati akizungmzia umuhimu wa uhifadhi wa wanyamapori na uhifadhi wa mazingira kwa nchi za Bara la Afrika.
  • “Serikali ya Tanzania ni mfano wa kuigwa katika eneo hilo la uhifadhi wa misitu na utunzaji wa wanyamapori. Hii imefanya katika nchi za Bara la Afrika ,Tanzania kushika nafasi ya kwanza kwa kuwa na Simba wengi na na inashika nafasi ya tatu kwa kuwa na tembo wengi. Nchi inayoongoza kwa kuwa na tembo wengi ni Botswana ikifuatiwa na Zimbabwe,”amesema Sebunya.
  • Amesisitiza ni muhimu wa kila nchi barani Afrika kuweka mikakati itakayosaidia maliasili zilizopo kutunzwa na kulindwa vema huku akieleza kwa sasa kuna changamoto ya wanyamapori wengi hasa Simba na Tembo kupungua.
  • “Ukweli Simba na Tembo wameendelea kupungua barani Afrika na sababu yake ni uwepo wa majangiri na uwindaji haramu.Hivyo African Wildlife Foundation tunahamasisha kila nchi kuweka mipango ambayo itasaidia kuwafanya Simba na Tembo waendelee kuwepo,”amesema.
  • Amesema kila nchi ikiamua hakuna ambacho kitashindikana ambapo ametoa mfano kwa Serikali ya Awamu ya Tano namna ilivyofanikiwa kudhibiti majangiri ukilinganisha na miaka ya nyuma.
  • “Katika hili la kulinda wanyamapori na uhifadhi kila nchi ikiamua inaweza.Niitolee mfano Tanzania miaka ya nyuma Tembo walikuwa wanauliwa sana lakini leo hii tembo hao hao wako salama kutokana na hatua ambazo Serikali inachukua,”amesisitiza.
  • Sebunya amesema watu wa Bara la Afrika wana maisha yao na tamaduni zao ambazo kimsingi zilizingatia uhifadhi wa misitu, mapori na wanyama lakini kadri siku zinavyokwenda na kuingia kwa tamaduni za nchi nyingine kumesababisha kuibuka kwa changamoto ambazo iko haja ya kuzikabili.
    • “Katika nchi nyingi sana barani Afrika nusu ya wanyama walikuwa siku za nyuma leo hawapo.Hivyo tutaendelea kuzihamasisha nchi za Afrika kuweka kipaumbele katika eneo hilo.
    • “African Wildlife tumekuwa tukifanya jitihada za kuhamasisha wadau kushiriki kikamilifu katika uhifadhi wanyama.Ndio maana hata kile Chuo cha Mwika ni sehemu ya mchango wetu. Watalaamu wengi uhifadhi wa mazingira , misitu na wanyamapori waliopo barani Afrika wamepikwa katika chuo hicho,”amesema Sebunya.
    • Wakati huo huo Sebunya amesema kadri nchi zinapofanya maendeleo ni vema pia zikazingatia utunzaji wa mazingira.”Nchi za Afrika zinahitaji kuwa na maendeleo na wakati huo huo zinapaswa kulinda mazingira.Ni mambo mawili yanayokwenda kwa pamoja,”amesema Sebunya.
 
Mmeingiza dollar kiasi gani? Kuna nchi hazina ata fisi lakini ndo zinaongoza kama Maldeves, Misri, Italia etc kule wanaingiza pesa nyingi za utalii. Kule Kilimanjaro wamefanya kili marathon sasa mwawadai mamilioni ya pesa wakati zikiingia dollar mnabaki nazo serikali

Jiwe kajenga uwanja Chatto eti kwa ajili ya utalii si angejenga Serengeti au hiki kiwanja kidogo cha Soweto, Moshi ili watalii wakitua KIA wapate chattered plane kuja Moshi kisha waende mlimani waache madollari nyinyi mmepeleka jagwani chatto uwanja alafu eti mtalii akitua chatto apande gari kilomita zaidi ya mia aende kule kagera kutalii hizi ni akili au matope [emoji16] [emoji16] tena matope ya udongo

Ohhhu sijui simba simba wako wengi inawasaidia nini Mbona hamuwashindi Misri, South Africa etc ni sawa sawa na ule usemi wenu eti mna ng'ombe wengi tuko nyuma ya Ethiopia lakini cha ajabu hamuuzi/ hamna soko la nje nyama za RSA ndo limeshamiri huku bongo hizi ni akili za matope

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuongezea, ni akili za mwafrika anaeishi chini ya Jangwa la Sahara.. "Sub Sahara Africa".. Kila kitu hakiendi sawa, Mawazo, Maamuzi ya hawa watu yako kwenye HISIA kuliko UHALISIA wa jambo...
 
View attachment 1042885

Sio Afika Tz inaongoza Kwa kuwa na Simba wengi duniani

Tumeingiza dollar 2.4billions.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... ni sawa sawa na ule usemi wenu eti mna ng'ombe wengi tuko nyuma ya Ethiopia lakini cha ajabu hamuuzi/ hamna soko la nje nyama za RSA ndo limeshamiri huku bongo hizi ni akili za matope
... hii kitu ya mifugo inaniuma sana. Sio nyama na maziwa tu; ilitegemewa pia Tanzania iwe miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa products za mifugo including leather products. Kwa maana nyingine, ukitaka begi au kiatu bora kabisa cha ngozi asilia ungekipata Tanzania badala yake tunaletewa maplastiki ya kichina sijui YEBOYEBO. Mwalimu aliacha maviwanda kibao ya ngozi wamefilisi yote!
 
... what value does that bring to our country? Sifa sawa lakini za kijinga.
Nchi yetu haijajitangaxa ipasavyo hiyo ndio problem. Ukiwa nje ya Africa watalii watu wengi hawajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania. Matangazo na advertisement. Ka Rwanda ya Kagame inapokea watalii kutuzidi Sisi Tz . Hatuna huduma nzuri mfano Airport ,Shirika la ndege pia. Tatizo Tanzania corruption imeikula Sana nchi yetu.Tz ilikuwa inaongoza Kwa ujangili kwasababu ilikuwa ni biashara ya wakubwa. Tulikuwa na Tembo laki 3 miaka ya 2000 mwanzoni . Ambapo Tembo laki moja walikuepo selous peke yake. 2009 tulikuwa na Tembo Kama laki moja na 2015 tulibaki na Tembo elfu 15. Vifaru wameuawa kwenye mbuga zote wamebaki kidogo Sana pale Serengeti na Ngorongoro. Kiufupi Tz ilikuwa inaongoza Kwa kuwa na wildlife animals Duniani. Nchi kama Botswana Kwa sasa ndio inaongoza Kwa kuwa na Tembo wengi , tumezidiwa na nchi kama tatu hivi Halafu sekta ya utalii ndio ilikuwa inaongoza Kwa kutuletea mapato mpaka sasa Tz. Ni shida mtupu. Mimi nilikuwa Thailand's hawana vitu vya maana kama Tz lakini Baba wanapokea watalii million 30 Kwa mwaka, south Africa inapokea watalii 15 Kwa mwaka na vivutio tumewazidi kwa mbali kabisa. Na hii tabia ya kuuza wanyama ilikuwa ya kijinga kabisa. Watakuja kuangalia nini wakati na wao wametengwneza zoo zao siku Hizi

... tumefikaje hapa?
 
Yan kuna mtu eti anauliza wameleta faida gani? ili swali la kijinga sana. Mimi ni mdau wa sector ya utalii na wanyama wamechangia kiasi kikubwa sana kwenye uchumi hasa kanda ya kaskazini! Vijana wengi wamepata ajira, miundo mbinu ya kutosha, bila kusahau huduma za kijamii. Wageni wengi wanakuja Tanzania kuona simba, tembo,chui,faru nk kila hatua wanayo pitia wanalipa kodi

Kwasababu Misri na Afrika kusini wanaongoza kwa watalii, haimaanishi sisi hatupati faida. Faida ni kubwa na watalii wanaongezeka kila uchwao.

Faida nyingine, Wanyama ni fahari yetu ni zawadi tulio patiwa na Mungu yafaa tuitunze kwaajili ya kizazi cha baadae

Tusilete siasa kwenye kila kitu!
 
Mmeingiza dollar kiasi gani? Kuna nchi hazina ata fisi lakini ndo zinaongoza kama Maldeves, Misri, Italia etc kule wanaingiza pesa nyingi za utalii. Kule Kilimanjaro wamefanya kili marathon sasa mwawadai mamilioni ya pesa wakati zikiingia dollar mnabaki nazo serikali

Jiwe kajenga uwanja Chatto eti kwa ajili ya utalii si angejenga Serengeti au hiki kiwanja kidogo cha Soweto, Moshi ili watalii wakitua KIA wapate chattered plane kuja Moshi kisha waende mlimani waache madollari nyinyi mmepeleka jagwani chatto uwanja alafu eti mtalii akitua chatto apande gari kilomita zaidi ya mia aende kule kagera kutalii hizi ni akili au matope [emoji16] [emoji16] tena matope ya udongo

Ohhhu sijui simba simba wako wengi inawasaidia nini Mbona hamuwashindi Misri, South Africa etc ni sawa sawa na ule usemi wenu eti mna ng'ombe wengi tuko nyuma ya Ethiopia lakini cha ajabu hamuuzi/ hamna soko la nje nyama za RSA ndo limeshamiri huku bongo hizi ni akili za matope

Sent using Jamii Forums mobile app

Unataka kujua wanaingiza kiasi gani na umekaa unaangalia tamthilia sebuleni kwenu!!!!vijana wa tz bana sijui mkoje kwakweli,wewe una tofauti gani na dada yako,ambaye naye hajui wala hajishughulishi kujua utalii unaleta faida gani nchini??

Maana unaleta kiherehere cha ujuaji ilhali,kwa umri kama wako mark wa facebook alikuwa billionaire nawewe tukuulize unashindwaje!!!!
 
View attachment 1042885
  • AFRICAN Wildlife Foundation imesema Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na Simba wengi na kwa upande wa Tembo inashika nafasi ya tatu barani Afrika.
  • Imesema hiyo inatoka na juhudi ambazo zinafanywa na Serikali ya Tanzania kuhakikisha wanyamapori na uhifadhi wa misitu unapewa kipaumbele.
  • Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Ofisa Mtendaji Mkuu wa African Wildlife Foundation Kaddu Sebunya wakati akizungmzia umuhimu wa uhifadhi wa wanyamapori na uhifadhi wa mazingira kwa nchi za Bara la Afrika.
  • “Serikali ya Tanzania ni mfano wa kuigwa katika eneo hilo la uhifadhi wa misitu na utunzaji wa wanyamapori. Hii imefanya katika nchi za Bara la Afrika ,Tanzania kushika nafasi ya kwanza kwa kuwa na Simba wengi na na inashika nafasi ya tatu kwa kuwa na tembo wengi. Nchi inayoongoza kwa kuwa na tembo wengi ni Botswana ikifuatiwa na Zimbabwe,”amesema Sebunya.
  • Amesisitiza ni muhimu wa kila nchi barani Afrika kuweka mikakati itakayosaidia maliasili zilizopo kutunzwa na kulindwa vema huku akieleza kwa sasa kuna changamoto ya wanyamapori wengi hasa Simba na Tembo kupungua.
  • “Ukweli Simba na Tembo wameendelea kupungua barani Afrika na sababu yake ni uwepo wa majangiri na uwindaji haramu.Hivyo African Wildlife Foundation tunahamasisha kila nchi kuweka mipango ambayo itasaidia kuwafanya Simba na Tembo waendelee kuwepo,”amesema.
  • Amesema kila nchi ikiamua hakuna ambacho kitashindikana ambapo ametoa mfano kwa Serikali ya Awamu ya Tano namna ilivyofanikiwa kudhibiti majangiri ukilinganisha na miaka ya nyuma.
  • “Katika hili la kulinda wanyamapori na uhifadhi kila nchi ikiamua inaweza.Niitolee mfano Tanzania miaka ya nyuma Tembo walikuwa wanauliwa sana lakini leo hii tembo hao hao wako salama kutokana na hatua ambazo Serikali inachukua,”amesisitiza.
  • Sebunya amesema watu wa Bara la Afrika wana maisha yao na tamaduni zao ambazo kimsingi zilizingatia uhifadhi wa misitu, mapori na wanyama lakini kadri siku zinavyokwenda na kuingia kwa tamaduni za nchi nyingine kumesababisha kuibuka kwa changamoto ambazo iko haja ya kuzikabili.
    • “Katika nchi nyingi sana barani Afrika nusu ya wanyama walikuwa siku za nyuma leo hawapo.Hivyo tutaendelea kuzihamasisha nchi za Afrika kuweka kipaumbele katika eneo hilo.
    • “African Wildlife tumekuwa tukifanya jitihada za kuhamasisha wadau kushiriki kikamilifu katika uhifadhi wanyama.Ndio maana hata kile Chuo cha Mwika ni sehemu ya mchango wetu. Watalaamu wengi uhifadhi wa mazingira , misitu na wanyamapori waliopo barani Afrika wamepikwa katika chuo hicho,”amesema Sebunya.
    • Wakati huo huo Sebunya amesema kadri nchi zinapofanya maendeleo ni vema pia zikazingatia utunzaji wa mazingira.”Nchi za Afrika zinahitaji kuwa na maendeleo na wakati huo huo zinapaswa kulinda mazingira.Ni mambo mawili yanayokwenda kwa pamoja,”amesema Sebunya.
Wewe nawe umekosa cha kuandika sasa

In God we trust
 
Kwahiyo shilingi imepanda?

In God we trust
 
Mmeingiza dollar kiasi gani? Kuna nchi hazina ata fisi lakini ndo zinaongoza kama Maldeves, Misri, Italia etc kule wanaingiza pesa nyingi za utalii. Kule Kilimanjaro wamefanya kili marathon sasa mwawadai mamilioni ya pesa wakati zikiingia dollar mnabaki nazo serikali

Jiwe kajenga uwanja Chatto eti kwa ajili ya utalii si angejenga Serengeti au hiki kiwanja kidogo cha Soweto, Moshi ili watalii wakitua KIA wapate chattered plane kuja Moshi kisha waende mlimani waache madollari nyinyi mmepeleka jagwani chatto uwanja alafu eti mtalii akitua chatto apande gari kilomita zaidi ya mia aende kule kagera kutalii hizi ni akili au matope [emoji16] [emoji16] tena matope ya udongo

Ohhhu sijui simba simba wako wengi inawasaidia nini Mbona hamuwashindi Misri, South Africa etc ni sawa sawa na ule usemi wenu eti mna ng'ombe wengi tuko nyuma ya Ethiopia lakini cha ajabu hamuuzi/ hamna soko la nje nyama za RSA ndo limeshamiri huku bongo hizi ni akili za matope

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeifanya asubuhi yangu iwe ya furaha sana

In God we trust
 
So what? Wanatusaidia kivipi? Hata Tanzanite tunaongoza duniani lakini mambo ni yaleyale.
 
View attachment 1042885
  • AFRICAN Wildlife Foundation imesema Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na Simba wengi na kwa upande wa Tembo inashika nafasi ya tatu barani Afrika.
  • Imesema hiyo inatoka na juhudi ambazo zinafanywa na Serikali ya Tanzania kuhakikisha wanyamapori na uhifadhi wa misitu unapewa kipaumbele.
  • Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Ofisa Mtendaji Mkuu wa African Wildlife Foundation Kaddu Sebunya wakati akizungmzia umuhimu wa uhifadhi wa wanyamapori na uhifadhi wa mazingira kwa nchi za Bara la Afrika.
  • “Serikali ya Tanzania ni mfano wa kuigwa katika eneo hilo la uhifadhi wa misitu na utunzaji wa wanyamapori. Hii imefanya katika nchi za Bara la Afrika ,Tanzania kushika nafasi ya kwanza kwa kuwa na Simba wengi na na inashika nafasi ya tatu kwa kuwa na tembo wengi. Nchi inayoongoza kwa kuwa na tembo wengi ni Botswana ikifuatiwa na Zimbabwe,”amesema Sebunya.
  • Amesisitiza ni muhimu wa kila nchi barani Afrika kuweka mikakati itakayosaidia maliasili zilizopo kutunzwa na kulindwa vema huku akieleza kwa sasa kuna changamoto ya wanyamapori wengi hasa Simba na Tembo kupungua.
  • “Ukweli Simba na Tembo wameendelea kupungua barani Afrika na sababu yake ni uwepo wa majangiri na uwindaji haramu.Hivyo African Wildlife Foundation tunahamasisha kila nchi kuweka mipango ambayo itasaidia kuwafanya Simba na Tembo waendelee kuwepo,”amesema.
  • Amesema kila nchi ikiamua hakuna ambacho kitashindikana ambapo ametoa mfano kwa Serikali ya Awamu ya Tano namna ilivyofanikiwa kudhibiti majangiri ukilinganisha na miaka ya nyuma.
  • “Katika hili la kulinda wanyamapori na uhifadhi kila nchi ikiamua inaweza.Niitolee mfano Tanzania miaka ya nyuma Tembo walikuwa wanauliwa sana lakini leo hii tembo hao hao wako salama kutokana na hatua ambazo Serikali inachukua,”amesisitiza.
  • Sebunya amesema watu wa Bara la Afrika wana maisha yao na tamaduni zao ambazo kimsingi zilizingatia uhifadhi wa misitu, mapori na wanyama lakini kadri siku zinavyokwenda na kuingia kwa tamaduni za nchi nyingine kumesababisha kuibuka kwa changamoto ambazo iko haja ya kuzikabili.
    • “Katika nchi nyingi sana barani Afrika nusu ya wanyama walikuwa siku za nyuma leo hawapo.Hivyo tutaendelea kuzihamasisha nchi za Afrika kuweka kipaumbele katika eneo hilo.
    • “African Wildlife tumekuwa tukifanya jitihada za kuhamasisha wadau kushiriki kikamilifu katika uhifadhi wanyama.Ndio maana hata kile Chuo cha Mwika ni sehemu ya mchango wetu. Watalaamu wengi uhifadhi wa mazingira , misitu na wanyamapori waliopo barani Afrika wamepikwa katika chuo hicho,”amesema Sebunya.
    • Wakati huo huo Sebunya amesema kadri nchi zinapofanya maendeleo ni vema pia zikazingatia utunzaji wa mazingira.”Nchi za Afrika zinahitaji kuwa na maendeleo na wakati huo huo zinapaswa kulinda mazingira.Ni mambo mawili yanayokwenda kwa pamoja,”amesema Sebunya.
Chakushangaza Tanzania ni mwisho kwa wingi wa watalii
 
Kwa kuongezea, ni akili za mwafrika anaeishi chini ya Jangwa la Sahara.. "Sub Sahara Africa".. Kila kitu hakiendi sawa, Mawazo, Maamuzi ya hawa watu yako kwenye HISIA kuliko UHALISIA wa jambo...
Watu kama hao ndiyo wanaifanya ccm iendelee kuwepo Tanzania

In God we trust
 
Back
Top Bottom