Msaada kuhusu mbuga za utalii

Msaada kuhusu mbuga za utalii

Young Gwahe

Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
53
Reaction score
164
Ndugu wana jf, hivi gharama za hifadhi kama, mikumi na Serengeti au Tarangire bei za kiingilio, vyakula na malazi ni kiasi gani kwa Siku na gharama za kutalii mbugani kiasi gani??
 
Ingia kwnye website zao mkuu utapata mrejesho ila ni nafuu sana gharama zao,Japo mie kinachonishangaza tunalipa hela tunaenda kuangalia wanyama na wakati na wao hutuangalia sie
 
Ingia kwenye website za hizo mbuga ulizozitaja nafikiri utapata info za kutosha mkuu

Ova
 
hayo siyo majibu ya busara. sio kila mtu anaweza kuingia huko kwa kutumia simu, nafikiri wenye majibu sahihi walete hapa
 
Hifadhi ya Mikumi kiingilio ni elfu 6 kwa mtu mzima
lakini hifadhi za Northern circuit zote kiingilio ni elfu 10
malazi Mikumi ni kuanzia elfu 40 nakuenderea na chakula ni kuanzia elfu12
karibu sana Mkuu kwa maswali zaidi kupangiliwa safari za utalii na kukuongoza Nicheki +255712944010
 
Back
Top Bottom