Kilichomponza mwl aliyepigwa kifungo cha kunyongwa, ni tabia ya wanaume wengi

mwisho2016

JF-Expert Member
Jun 27, 2016
724
625
Fundisho kuu, kwa msiba utakao ikumba familia ya Mwl aliyemchapa mtoto had kufariki ni muhimu kwa wanaume wengi.

Mkoba sio wako, kiherehere kimemponza. Tabia ya wanaume hata mmi nilojikuta nagundua nikikuta mwanamke anatatizo najibaragua kumsaidia ndicho kilichomkuta jamaa Mwl Respicius.

Unamkuta mwanamke gari imeharibika unamsaidia, sawa msadie lkn hii tabia wanaume inatuponza sana.

Mwl was kike angeshtakiwa yeye isingekuwa kifo kwa kuwa asingemuua mtoto.

Majumbani mwetu tunawachapa watoto wetu had kuwaumiza, wengi tungekuwa tunashtakiwa Taarifa zingekuwa zinafika vituo vya polisi, tofauti ma while watoto wanachapwa kwa ajili ya kuwaadabisha lakin so kutaflka sifa.
 
Nyinyi mnaoanzisha mada zisizoisha dhidi ya huyo mwalimu huenda mkawa ni malaika. Hamtakuja mfanye kosa lolote lile ktk maisha yenu.
 
Tatizo watoto hawalindwi inavyotakiwa na kupiga Watoto bila huruma inatokea sana katika jamii nyingi duniani ila wengine wanadhibitiwa na hata kunyang'anywa Watoto kama wanawapiga
Najua wengi watapinga hilo la kuchukuliwa watoto lakini lipo nchi nyingi.

Kwanza maskini ndio wanaongoza kwa kupiga Watoto fuatilia mpaka vifo vinatokea
Mtoto kapigwa mpaka kufa kisa kaangusha beiskeli iliyokuwa imebeba mayai sita na kuvunjika

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Binafsi adhabu ya viboko naiheshimu kwa mazingira ya kiafrika
Tatizo watoto hawalindwi inavyotakiwa na kupiga Watoto bila huruma inatokea sana katika jamii nyingi duniani ila wengine wanadhibitiwa na hata kunyang'anywa Watoto kama wanawapiga
Najua wengi watapinga hilo la kuchukuliwa watoto lakini lipo nchi nyingi.

Kwanza maskini ndio wanaongoza kwa kupiga Watoto fuatilia mpaka vifo vinatokea
Mtoto kapigwa mpaka kufa kisa kaangusha beiskeli iliyokuwa imebeba mayai sita na kuvunjika

Sent from my SM-G570F using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi adhabu ya viboko naiheshimu kwa mazingira ya kiafrika

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na malezi ya watoto wako unavyowalea
Kama huna mda na kuwa karibu na wanao itakuwa akifanya kosa ni kupiga tu
Kama ni mwalimu lazima ujue kwanini mtoto anakuwa mtukutu au nini kina msibu mpaka analala wakati wa masomo?
Unampiga mtoto shuleni kwa kuchelewa lakini siku ukija kuambiwa mama yake anapigwa na baba mlevi kila usiku na hakuna kulala ndio utaanza huruma, ingawa hakuna mwalimu anaejali kufuatilia au kuhoji au hata kuwa na udadisi

Lakini wewe pia una mawazo yako pia

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hukumu siyo ya haki, Mwalimu hakukusudia kuua

Waachie wanasheria wanajua kazi zao. Kuna kitu wanakiita mens rea au guilty mind ya mwalimu. Kama asingekusudia kuua angemchapa fimbo chache tena matakoni lkn sasa kitendo cha kumchapa mateke ngumi na fimbo zisizo na idad kichwani mgongoni kifuani unategemea hakujua madhara yake?? Hakujua mtoto angekufa kwa kuvuja damu mwilini??
Kuna tofauti kubwa kama angemchapa fimbo moja akafa na angemchapa fimbo nyingi akafa. Ile ya kumcha fimbo moja akafa tungeita manslaughter yaan kuuua bila kukusudia. Au kwa mfano unamfumania mgoni wako unampiga risasi moja hapo hapo akafa na ungeenda kutafuta silaha ukaja ukampiga moja akafa ni vitu tofauti
Huyu mwalimu anastahili kunyongwa fasta sana tena ingefaa akanyongewa sehemu ya wazi kila mtu akaona ingekua fundisho zuri kwa walimu wengine wenye tabia kama zake


Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu mwalimu nae sijui pepo gani lilimshika siku hiyo mpaka akampiga vile Yule dogo ...dah!namhurumia sana kwa kweli
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom