Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wanajamvi, Bila shaka mnaendelea na mapambano ya kulijenga taifa. Wiki ijayo nitaleta uzi humu kuelezea fursa ziliko nje hasa hapa Geneva nilipo ambapo kwa Tanzania mazingira siyo...
7 Reactions
110 Replies
9K Views
Wakazi mbalimbali wa Jiji la Arusha,wamejikuta kwenye hali mbaya ya kiafya na wengine kulazwa katika hospital ya Mkoa M.Meru kutokana na kunywa maji yanayodaiwa kuchanganyikana na maji taka wakati...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Nategemea kuinstall solar System kama nishati ya umeme kwenye nyumba yangu Mwenye ujuzi wa solar aniambie nini nizingatie nnaponunua solar? Yenye uwezo wa kusukuma friji,Tv,feni pamoja na taa za...
1 Reactions
45 Replies
20K Views
Habarini wanaJF Naandika uzi huu nikiwa na hasira na masikitiko makubwa Sana dhidi ya TCRA na wateja wake wakuu Kama vile Tigo,Vodacom,Airtel na Halotel.Jioni ya leo nimepokea simu ya hovyo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Bei ya kununua ving'amuzi imebaki ileile Malipo ya mwezi yamebaki yaleyale. Wananchi hawakulipwa Kama walivyodanganywa Kodi ya serikali imeshuka. Je, haya yalifanyika kwa lengo tu la kuwazuia...
8 Reactions
40 Replies
4K Views
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ametaka kupewa taarifa za waajiri wote hasa sekta binafsi waliowafukuza wanawake kazi au kuwashusha vyeo kwa sababu wamepata...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)kwa kushirikiana na hospital ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa(AICC) Arusha,wameanza kutoa huduma ya upimaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana Jf napenda kuwaasa juu ya swala la kupambana na kutokomeza swala ukatili wa kijinsia ikiwemo ukekektaji na ndoa za utotoni, kuwa ni jukumu la kila Mtanzania. Vitendo hivi hufanywa hasa...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Habari za jumapili bandugu ndugu.. Eheee salamu jambo la kheli.. Maisha sio Bongo movie. Ukinishangaa nakushangaa kisha tuna shangaana ndio mwendo wa Time hii.. Time ya kuandika historia kwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanafunzi wa chuo cha maendeleo ya wananchi Msaginya kilichopo halmashauri ya Nsimbo wilaya Mpanda mkoa wa Katavi wanalazimika kulala katika bwalo la kulia chakula baada ya mabweni yao...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hii ni kwa mujibu wa Farouk Karim wa ITV , bado haijafahamika hasa wahusika wa tukio hilo . Taarifa zaidi zitawajia punde ... ======= Watu wasiojulikana wamechoma moto gari la aliyewahi kuwa...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
" Intelligent people are full of doubts while the Stupid ones are full of confidence " Tafsiri " Watu Werevu mara nyingi huwa na Mashaka juu ya mambo lakini ile Mipumbavu ( Mipopoma ) na Mijinga...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Hizi ni ndege zilizofanyiwa upgrade kutoka BOEING 787 Boeing 737 Max-8 imekuwa katika safari za kibiashara tangu mwaka 2017. Mwezi October mwaka jana Lion Air Boeing 737 Max ilianguka muda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii ni habari iliyowatahadharisha raia wa Marekani kutokapanda ndege za Ethiopia au kutopitia Bole International airport Nimeisoma kwenye Embassy page ya USA, Kwamba kwasababu ya maandamano...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
CHINA na Tanzania zimezidi kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji baada ya makampuni 13 toka nchi hiyo ya Asia ya Mashariki kutembele Tanzania na kusema wanataka kuanzisha uwekezaji...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Yani bongo usipompost marehemu au kutopiga picha ukiwa msibani unaonekana huna uchungu kabisa na msiba Vanesa Mdee alikuwa na show Rwanda ambayo alishaipromote mda mrefu sana ghafla katikati...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kijana aliyejulikana kwa jina la Daniel Mtambala Gudugudu (30 mkazi wa Nyihogo Mjini Kahama ameuawa kwa kuchomwa na kisu kwenye mkono wa kushoto na Rashid Mustapha (48) mkazi wa Nyihogo wilaya ya...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Mh Rais mstaafu Mkapa,kwann uwa audhurii misiba ya watu maarufu Mfano kifo cha kanumba,ruge,mzee kingunge,na wengine wengi. Ila imekuwa tofauti na mh kikwete Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
50 Replies
7K Views
Watafiti wa Kisayansi duniani wamegundua ya kwamba Watu ( Binadamu ) ambao huwa na tabia ya Kutembea haraka haraka hasa wawapo barabarani au maofisini au popote pale huwa na uwezo mkubwa sana wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Baadhi ya Wachaga wana utamaduni wa kuwaenzi watoto hasa mzaliwa wa kwanza kwa kuchinja mbuzi baada ya mtoto anapotimiza miezi mitatu kisha mtoto huyo hupakwa damu kwenye paji la uso kwa kutumia...
4 Reactions
66 Replies
8K Views
Back
Top Bottom