Asanteni na mbarikiwe sana kwa hili mabeberu, bila ninyi tusingeweza

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,079
2,000
sijui nisemaje ,moyo wangu umefarijika narukaruka kwa furaha,najiuliza bila mabeberu a.k.a wahisani,a.k.a wadau wa maendeleo a.k.a waibaji wa rasilimali zetu ,kutusaidia ingekuwaje?tungeweza kweli kufanya wenyewe?Balozi mkongwe na jasusi lililotukuka A. Mahiga alikuwepo kwenye makabidhiano hayo
mabeberuuu.PNG
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
41,905
2,000
ni jambo la faraja pia balozi mahiga alikuwepo kupokea msaada huo mkubwa.kwa magufuli kila goti litapigwa

hivi kumber mabeberu ni EU peke yake,sasa we mama chizi punguani wahed hawa UN si ndo gari lao lilipata ajali congo likakutw ana dhahabu,si ndo hawa juzi wamefukuzwa somalia kwa kuingilia demokrasia?yaani kweli miss islamic unataka kuniambia nikikupa kirefu cha EU na UNDP ndipo utaniona mjuaji?pathetic old woman.
Huyo mama achana nae menopause inamsumbua
 
Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
23,390
2,000
sijui nisemaje ,moyo wangu umefarijika narukaruka kwa furaha,najiuliza bila mabeberu a.k.a wahisani,a.k.a wadau wa maendeleo a.k.a waibaji wa rasilimali zetu ,kutusaidia ingekuwaje?tungeweza kweli kufanya wenyewe?Balozi mkongwe na jasusi lililotukuka A. Mahiga alikuwepo kwenye makabidhiano hayo
View attachment 1043247
Sasa waombeni hao mabeberu wafadhili ukarabati wa jengo letu la ufipa, limechoka kinoma. Mbona mnachelewa namna hii?
 
Mpini Wa Chuma

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,646
2,000
Sasa si wameharibu jengo li chapa kuubwa huo n ujinga bora tukubali na hali yetu siku tukipata tunajenga kuliko hayo ya ivyo...kwani mpaka waweke chapa vitundu vya choo tu
 
feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
5,124
2,000
ni jambo la faraja pia balozi mahiga alikuwepo kupokea msaada huo mkubwa.kwa magufuli kila goti litapigwa

hivi kumber mabeberu ni EU peke yake,sasa we mama chizi punguani wahed hawa UN si ndo gari lao lilipata ajali congo likakutw ana dhahabu,si ndo hawa juzi wamefukuzwa somalia kwa kuingilia demokrasia?yaani kweli miss islamic unataka kuniambia nikikupa kirefu cha EU na UNDP ndipo utaniona mjuaji?pathetic old woman.
Mama anateseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ramadhan James

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
2,163
2,000
Usishangae; Mabeberu wanatupa Misaada mingi ya maji, Elimu, Afya, Wanafadhili Miradi ya Maendeleo, Bajeti hadi Kondomu wanatugawia bure sembuse kutujengea Vyoo!
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,130
2,000
Tunaweza kujenga flyovers tunasaidiwa kujenga vyoo kwenye shule zetu?
Flyover ipi? Kama unazungumzia daraja la Tazara basi jua ule ni msaada toka Japan kama shukrani kwa jinsi tunavyowasafishia miji yao kwa kuondoa magari kuu kuu mitaani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom