Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jana kulitokea sitofahamu baada ya Askari wa Tanzania kuwakamata vijana raia wa Zambia ambao huwa wanafanya kazi ya kubebea kwa wateja upande wa Tanzania. Hao vijana maarufu kama Wamagasi ama...
3 Reactions
35 Replies
9K Views
KIJANA MSOMI NA MWANAMTANDAO MAARUFU J.MALISA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU ZITTO KABWE. COPY & PASTE. NTASIKITIKA CHAMA CHANGU KIKIKUBALI KUSHIRIKIA NA ZITTO Imeandikwa na Malisa. Mwaka mmoja kabla...
10 Reactions
61 Replies
7K Views
Mdogo wangu dogo Janja, ukitaka kukwea mnazi basi usipige vigelegele Fanya kazi kwa bidii na suifanye kazi kwa media, tunaopima utendaji wako ni sisi raia wa kawaida Umeanza kuzidi sasa...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Asalaam ya week end! Hii kitu mwanadada wetu wa mitindo huko duniani marekena Flavian Matata ameipost, imezua utata mtaani. Je, ni post mahsusi kushtua uongozi kua hali ni mbaya kufikia hivi au...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
Dar es Salaam. Chumba kimojawapo cha ofisi kilichopo katika jengo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jengo la Terminal 3, kimeungua kwa moto ambao bado chanzo hakijajulikana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kumekuwa na sintofahamu kwa chuo cha SAUT kiasi cha kuwafanya wafanyakazi kukimbia kwa sababu ya hali ngumu. Wahadhiri waandamizi na wahadhiri wasaidizi hali zao ngumu kweli kweli mpaka wengine...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Si Jambo baya ulilolitangazia taifa juu ya offer unayotaka kuitoa dhidi ya timu yako ya taifa ila Kuna vitu ulipaswa kufanya na sio uo utaratibu ulioutangazia Uma 1) Ulipaswa kuwapa poso...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na mabadilliko ya hali ya hewa kila sehemu jua kuwa kali tofauti na kawaida kila sehemu kuwa na jua kali na joto hadi usiku watu kulala nje kumekuwa na sintofaham ya hii hali hadi watu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tanzania vijana wanafikirisha sana sana , hasa hawa wanaojiita graduates au wasomi. Mahitaji ya watu mtaani ni mengi sana na yanazidi kuwa mengi kila uchwao. Watu wana shida na mambo mengi sana...
9 Reactions
79 Replies
8K Views
KWA MUJIBU WA UTAFITI, UWEZO WA KUFIKIRIA WA MTOTO UNAUWEZO WA KUPUNGUA KWA ASILIMIA 13, ENDAPO ATAKUWA NA MSONGO WA MAWAZO. HIVYO TUNAAMBIWA TU-TREAT WATOTO NJIA SAHIHI NA SALAMA PALE AMBAPO...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Naomba kama kuna mwenzetu ana full version ya taarifa ya habari ya starTV jana 20-3-2019 usiku. Saa 2 usiku. Asante
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nawasalimu wandugu kwa jina letu lile jipya tulilopewa na afande Muroto Ahahaha! Hopefully mko sawa kabisa. But wiki hii imekuwa wiki ngumu sana kwa wengi kwa kuandamwa na misiba mfululizo ya...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Naomba salami hizi ziwafikie vodacom Tanzania na mitandao mingine ya simu. Katika Siku za hivi karibuni haya makampuni ya huduma za mawasiliano yamejikuta yakijisahau kabisa katka suala zima la...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini! Kuna nyumba nimefika bei huko Chamanzi, ni ya kisasa kiasi. Ila niliwahi kusikia humuhumu kuwa zile nyumba msingi wake ni mwepesi, yaani haujaenda chini sana. Sasa nauliza kwamba...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Leo kila kitu kina changamoto,familia nyingi kwa asilimia kubwa zinapitia wakati mgumu,Familia pia wakati mwingine unaweza kudiriki kusema ndio chanzo cha matatizo yote maana ndio source ya awali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa ACP Mathias Nyangi kuhakikisha anafanya msako wa waganga wa kienyeji katika mkoa na kuwakamata wale wote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mambo mawili duniani hutokea kwa namna mbili: 1. Kwa kutumia nguvukani yenye msukumo wa ziada kufanikisha jambo husika 2. Jambo lenyewe kufanyika kwa ufanisi mkubwa bila nguvukani kubwa na...
23 Reactions
76 Replies
8K Views
Moderators, naomba Uzi wangu usimame peke yake. Ninasikitishwa sana na baadhi ya nadharia potofu zinazozushwa na watu kwa makusudi ama kwa kutoelewa juu ya matumizi ya lugha ya Kiingereza...
6 Reactions
13 Replies
4K Views
Tanzania ya wengi....ilo ni wazo tu la ki intelligencia, ivi tukizalia tukiwa wengi inamaaana akili zetu azito funguka ni wazo tu lakini i siri mpaka leo wachina awataki iweka wazi dunia but...
0 Reactions
5 Replies
797 Views
Tarehe 16/03/2019 Waziri mwenye dhamana ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo la Makazi Mhe William Lukuvi alizindua zoezi maalumu ya kutambua Kila kipande Cha Ardhi katika Mkoa wa Dar es salaam na kutoa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom