Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Natumai mu wazima wa afya na poleni kwa miangaiko ya kila siku.Niende moja kwa moja kwenye mada Kuna application moja inahusu mobile tracking nimeinstall kwenye simu yangu kwaaajili ya kutrack...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kijana huyu Abdul Mahmoud Omar Athuman Kagobe, (Abdu Nondo) ni mjukuu wa Omar Athuman Kagobe, ambaye ni veteran wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia (1914 – 1918), na baadae alijiunga na Jeshi la Polisi...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Huko mjini Paris, Ufaransa kuna mkutano mkubwa wa climate change" ambapo marais wote wa Afrika wamedhuria kwa gharama zao wenyewe isipokuwa Magufuli wetu tu ambaye ametuma mwakilishi ili kuokoa...
7 Reactions
122 Replies
22K Views
Kimbunga kilichoanza kujijenga katikati ya bahari ya India baada ya kimbunga Idai kupita kimepewa jina; kwa sasa kinajulikana kama Savanna cyclone. Savanna bado hakijaanza kutembea, lakini...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ibrahim Hassan (7) amefariki dunia baada ya kukanyagwa jana na mashabiki waliojitokeza kuangalia mpira uwanja wa Taifa, baada ya vurugu kutokea katika geti la kuingilia uwanjani hapo. Baba mzazi...
2 Reactions
43 Replies
9K Views
Huu ni uchochezi kama uchochezi mwingine. Nashauri jeshi la Polisi lichukue hatua kwa wachochezi hao! Huku ni sawa na kumuita Rais kila.za. CV ya Rais inaonyesha kuwa ana Phd na lugha ya...
9 Reactions
112 Replies
11K Views
Habarini wana jf Yapata miezi 17 tangu baba yangu afukuzwe kazi (mambo ya vyeti feki) Tangu muda uwo tumekuwa hatuna maelewano mazuri, nikiwa namuelezea kuhusu mambo na miradi mikubwa...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Moshi. Watu wawili wanaodaiwa kuwa vibaka, wamevamia kwenye wodi namba moja katika Hospitali ya Kilimanjaro CRCT mjini Moshi na kuiba vitu mbalimbali ikiwemo simu za mkononi na fedha taslimu...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mimi ni mtumiaji wa haya mabasi kutoka Makumbusho mpaka Kibamba shule.Haya mabasi yakifika Mbezi mwisho ni kama yanafika mwisho wa safari. Hujipanga foleni na kuanza kujaza abiria na wewe ulietoka...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Takribani miezi mitano iliyopita aliibuka kijana anaitwa Mzalendo alitamba na kibao chake cha HipHop kinaitwa "Nasogea Goligota" alipata umaarufu sana baada ya kusikika mistari akimchana jiwe bila...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Siku ya ijumaa nilinunua umeme kwa njia ya simu kwa kubonyeza *150*78# umeme ulikuwa wa shilingi laki moja, nilipata bahati ya kupata SMS kuwa kuna tatizo la mtandao hivyo nitatumiwa tokeni kwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Benki ya Dunia (WB) imeishauri Tanzania kufanya mambo manne ili kutimiza azma yake ya kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025. Akizungumza katika semina iliyoandaliwa na WB...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Hali ya sintofahamu yazuka baada ya website ya bodi ya mikopo kuhackiwa na watu wajiitao TANZANIA HACKERS na kuanza kupost mambo yasiyohusiana na taarifa za mikopo.. .maneno yanayosomeka kwenye...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Inawezekana uzi huu umeshapita hapa, Lakini naomba wanaJF kwa anayejua walipo maafande hawa waliowahi kuwahapa Arusha miaka ya nyuma: Afande Sajent Mwambungu Saba Sita...
0 Reactions
41 Replies
13K Views
Wakulima kwa kushirikiana na wauzaji wa Pembejeo nchini wamehimizwa kupata elimu ya kutosha juu ya viwatilifu na matumizi yake ili kuepuka kutengeneza sumu kwenye mazao zinazoweza kusababisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wakuu ...nimewaza kidogo kwa upeo wangu finyu wa kufikiri...hivi katika zoezi la kujisajili kujiunga na benki yeyote hapa tanzania ...huwa tunajaza taarifa za (next of kin) mtu wa karibu wa...
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Kipindi cjha JUKWAA LA ASIYE NA JUKWAA Radio Kheri 104.10MHz kila Jumapili saa tatu na nusu usiku kina kila daliili za kuhamasisha vurugu. Sheikh Bassalleh huwa ni mtoa mada mkuu katika kipindi...
0 Reactions
95 Replies
17K Views
Wananchi wa Tanzania tumekuwa na changamoto za kimaisha kwa muda mrefu hasa katika kupanda kwa bei za bidhaa muhimu kwa matumizi ya kila siku. Ukiangalia bei za vifurushi katika mitandao yetu ya...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Leo tarehe 25 bado hawajaidhinisha malipo ya shule ya umoja wa wazazi Tanzania (Jumuiya ya CCM) japo Mkuu wa shule amerequest mara tatu ili kupata pesa. Mfumo huu awali haukuwepo na...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
Ziara ya mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa Mhe Mizengo Peter Pinda, Mkoani Manyara, imeingia siku ya pili kwa kutoa matumaini kwa wananchi na Viongozi. Mhe Pinda alipokelewa Kijiji cha Dosidosi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom