Jerry Slaa a.k.a. Dogo Janja Punguza Camera fanya Kazi na sio kuuza sura

Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
13,157
10,655
Mdogo wangu dogo Janja, ukitaka kukwea mnazi basi usipige vigelegele

Fanya kazi kwa bidii na suifanye kazi kwa media, tunaopima utendaji wako ni sisi raia wa kawaida

Umeanza kuzidi sasa kutumia camera... be careful, huwa wanachafua vibaya sana hao waandishi wa habari

Hukutumwa kupiga picha bali ulitumwa kufanya kazi
 
So hii inafuata nini kwenye Jukwaa la SIASA,Moods please ipelekeni kwenye Celebrities forum.
Kukurupuka tu,Muone vile Kubwa jinga
 
uliileta hapa hii mada wimbi mbili hivi..haikupata kavareji kubwa.....umeamua kuirudisha kivingine ...leo haina picha yake.....
 
Jamani ifike sehemu JF iwe source ya mabadiliko,tuache majungu,umbea na visasi.Hivi kweli unanunua magari ya manispaa kwa ajili ya kuzoa taka kuna ubaya gani kuutangazia umma?Kumbuka yule ni mwanasiasa wananchi kila siku tunalalamika tunataka kusikia taarifa za manispaa zetu,mkipewa ooh media sasa akupigie simu?
 
mkuU
juzi nimemuona anakenua meno yake kwenye video ya vic kamata, huyu dogo kazidi kuuza sura. Nakuja na jina la wimbo
 
Aisee kweli humu ni great thinkers only,huyu na hii thread yake sijui katokea wapi!! Hatuwezi kuchukua habari isiyo na kichwa wala miguu humu, kama una bifu nae tafutaneni hukohuko! Au kama vipi uende loliondo urudishe heshima na wewe...
 
So hii inafuata nini kwenye Jukwaa la SIASA,Moods please ipelekeni kwenye Celebrities forum.
Kukurupuka tu,Muone vile Kubwa jinga
Ni sawa tu kuwa hapa kwani Jerry Silaa ni meya wa Ilala, sasa sielewi tatizo liko wapi... ni mwanasiasa pia

Labda mada imeletwa ki-dogo janja sana kiasi cha kuonekana ni hiphop
 
ukisoma michango ya baadhi unajua kabisa wamesimama wapi

hakuna jungu wala ni ukweli... chapa kazi sio kuuza sura, hata uje na ID ngapi
 

Kampuni ya INCAR Tanzania imeiuzia halmashauri ya Ilala magari matatu ya kuzolea takata na vifaa maalumu vya kuhifadhia takataka kwa kiasi cha shilling million 800.00

* Sijui kwanini Halmashauri isibinaifishe uzoaji takataka jijini Dar-es-salaam


IMG_6634.JPG


Mheshimiwa Meja Jerry Slaa akijaribu Gari jipya wamenunua Matatu; sijui kama yataweza kuisaidia almashauri hiyo.



IMG_6658.JPG


Jerry Slaa na Mtendaji Mkuu wa Incar Tanzania Rajeev Puri.

IMG_6651.JPG


Wakiangalia vifaa hivyo vya kuzolea takataka vya sh. Millioni 800.00

IMG_6642.JPG


Wafanyakazi wa Halmashauri ya Ilala wakipiga picha ya pamoja na kufurahia? hamna hata mmoja aliyetabasamu.
 
kweli huyu dogo siku moja amenishangaza amekuja na bodi guard club alipofika harakaharaka bodi guard akatelemka akamfungulia mlango akatelemka watu wakageuka kuangalia anayeshuka nani tena huyo hadi aliona aibu tukacheka mara akazama ndani bodguard akabaki nje na gari la serikali na driver ilikuwa huko masaki kuna club mpya imefunguliwa sasa dogo usitumie madaraka vibaya tumia private car kwenye starehe zako sio magari ya walipa kodi.
 

kampuni ya incar tanzania imeiuzia halmashauri ya ilala magari matatu ya kuzolea takata na vifaa maalumu vya kuhifadhia takataka kwa kiasi cha shilling million 800.00

* sijui kwanini halmashauri isibinaifishe uzoaji takataka jijini dar-es-salaam


img_6634.jpg


mheshimiwa meja jerry slaa akijaribu gari jipya wamenunua matatu; sijui kama yataweza kuisaidia almashauri hiyo.



img_6658.jpg


jerry slaa na mtendaji mkuu wa incar tanzania rajeev puri.

img_6651.jpg


wakiangalia vifaa hivyo vya kuzolea takataka vya sh. Millioni 800.00

img_6642.jpg


wafanyakazi wa halmashauri ya ilala wakipiga picha ya pamoja na kufurahia? Hamna hata mmoja aliyetabasamu.

jerry huyu mlikuwa mnaimba wimbo wa taifa nini mbona umeudharau hivyo wakati huyu mama wa kitenge amekomaa na ardhi ,else nahsi mmemtoa jeshini


yaani huyu wa nne kutoka kushoto alivyochoka nashauri jerry msaidie nauli aende kwa babu loliondo.usikae na afya mgogoro hata kusimama wima anahsi kudondoka

?nawakilisha
 
IMG_6658.JPG


NA WEWE MAPETE YA KIMAPEPO KAMA BABA YENU JK MNAYAPATA WAPI AU NDIO MASHARTI YA BAGAMOYO MWANANGU??
 
nilishaandika hapa kuwa huyu dogo anauza sura kama mbuzi mnadani

mabomu ya gongo la mboto baada ya kusadia watu mwenyewe na msupu supu wanapigana picha kuweka kwenye mablogs yako

DOGO CHUNGA SANA FANYA KAZI UCIWE ZEZETA KUTAKA KUPIGWA PICHA KILA SIKU NA KUONEKANA KWNYE VYOMBO VYA HABARI
 
nilishaandika hapa kuwa huyu dogo anauza sura kama mbuzi mnadani

mabomu ya gongo la mboto baada ya kusadia watu mwenyewe na msupu supu wanapigana picha kuweka kwenye mablogs yako

DOGO CHUNGA SANA FANYA KAZI UCIWE ZEZETA KUTAKA KUPIGWA PICHA KILA SIKU NA KUONEKANA KWNYE VYOMBO VYA HABARI
Kweli kuimba kupokezana, mbona siku hizi hatumuoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom