Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Tanzania vijana wanafikirisha sana sana , hasa hawa wanaojiita graduates au wasomi.
Mahitaji ya watu mtaani ni mengi sana na yanazidi kuwa mengi kila uchwao. Watu wana shida na mambo mengi sana ambayo yote ni sources of income.
Huyu anataka hiki , yule anataka hiki , na hana uwezo wa kufanya au kukipata.
Ni aibu kijana kulalamika hana kazi zama hizi.
Aibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app